PELE: No doubt, Best Player in the World is Cristiano Ronaldo

Na wewe kumbe unaongeaga Ungese Hujui Mpira wewe kila anaejua Mpira anajua Messi si Bora tu Kuliko Ronaldo Bali ni Mchezaji Bora kuwahi Kutokea Duniani na Katika Hii sayari!
Ukimind Andamana!
Kwa kigezo gan ukisema messi ni bora kama ni kupiga chenga au mpira wa kuvutia hakuna mchezaji alikuwa na kipaji cha kipekee kama gaucho .
Hana maajabu yoyote
 
Lakini ukumbuke anasema Messi is Extraordinary...Refer Physics kaka Einstein was Genius but Newton was Extraordinary....kama Hujui Extraordinary is More than Genius ma Geniuos wapo wengi sana!
Messi yule sio jeshi la mtu mmoja anategemea sana support ya team wakat ronaldo hayupo hivyo ni jeshi la mtu mmoja
 
Kaka kweli una akili timamu??? Messi amzidi PELE???? PELE KASHINDA MAKOMBE MATATU YA KOMBE LA DUNIA.. MESSI HATA COPA AMERICA HANA.. YAAN WEWE NI BOYA NA HUFAI HATA KUSHABIKIA MPIRA MPUUZI WEWE..
Kuishia Darasa la tatu ni Tatizo Kubwa Mno.. Kushinda Kombe la Dunia ni Kigezo ila sio Kikubwa kama unavodhani....Think out of the Box Panua Fikra..Acha uvivu wa Kufikiri....Hii ni Karne ya 21!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
0698ee7357aa0d5af528d6754be2616f.png
2c0f6f64539f48b211eaab0cecb35511.jpg
4ae8af49154be81f21efe47583cf302d.jpg
ff03134bc3c8b27fab9b5b79632bfe0a.jpg
256d11c1b66d2f62b9f03fc1049c42b1.jpg

Mkuu tatizo sio hilo ila TUANZIE KUCHUKUA TAKWIMU ZAO WALIPOANZA KUWA WOTE PALE LALIGA maana games nyingi ambazo Ronaldo amekuwa involved bila kufunga ni zile za Man-U in EPL(Ligi ambayo ata Huyo messi wenu hawezi kwenda kwa hofu ya kupotea) ambapo Ronaldo alifunga goals 118 katika mechi 256...ila kwa pale Spain akiwa Real in LaLiga messi hagusi ata chembe...yani Ronaldo ana goals nyingi(285) kuliko michezo yote aliyocheza Laliga 265...huku messi akiwa na goals chache(349) kuliko michezo yote 382 aliyocheza LaLiga ina maana zipo games 33 ambazo messi amecheza pale laliga bila ya kufunga goli ata moja huku mwenzie RONALDO AMESHINDA KATIKA MECHI ZOTE ALIZOCHEZA LALIGA NA ANA GOALS 20+ ZAIDI YA MICHEZO ALIYOCHEZA PALE SPAIN NA NDIO MAANA RATE YA UFUNGAJI KWA RONALDO NI NZURI KULIKO MCHEZAJI YOYOTE KUWAHI KUTOKEA PALE LALIGA...ALAFU MISIMU MITANO AMBAYO MESSI EMEMZIDI RONALDO IMELETA TOFAUTI YA GOALS 64 tu(349 Goals for messi - 265 Goals for Cristiano =64 goals) kwa hiyo kuna misimu kama minne pale LaLiga messi amekuwa na wastani Wa goals 13 per season....SASA KAMA RONALDO HAJAWAI FUNGA GOALS CHACHE CHINI YA 20+ TOKEA ATUE PALE LALIGA JULY-2009 NA KAMA MSIMU WA 2014/2015 ALIWEZA KUIFUNGIA MADRID GOALS 46 ZA LALIGA INA MAANA RONALDO ANGETANGULIA MSIMU MMOJA NA NUSU PALE SPAIN IN LALIGA ANGEKUWA AMESHAMZIDI MESSI GOALS KADHAA NA KAMA ANGEANZIA SOCCER LAKE PALE SPAIN MESSI ANGEPOTEZWA VIBAYA SANA...

Screenshot_2017-06-14-13-30-33.png

DCCeVDnUIAAgLEs.jpg
 
Mawazo ya kiafrika hayo ....wivu wivu wa namna hiyo kule hamna ....jenga hoja iliyokamilika

NB; I'm leo fan
Wewe ni Mzungu .....hahahahaaa hii Mijinga sijui inatokea wapi?
Kipindi n ikiwa kijana wa miaka 15 Niliambiwa mashabiki wa Man u (Ronaldo Fans) unganisha na wa Madrid ni mashabiki wenye mihemko na aina Fulani ya Utaahira Nilikuwa siamini ila sasa Naanza kuamini
 
View attachment 527554
View attachment 527555
Hahahaa Kijana unajua wewe unajificha Nyuma ya Jani Chukua stats za mechi zao zote mbona kila siku unakimbilia Hizi Record Mbili tu? embu tizama katika mechi zote kwa ujumla nan ana Goal ratio kubwa? Halafu ukipata Uje unitag!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
RonalDo is more OF AN ADVANCED HUMAN, Messi ISN'T A HUMAN..
Mtizamo wa pelle hautoi final Conclusion kwakua ni yy aonavyo So mawazo yake yaheshimiwe As long as ni legenD na ana Unbeaten worlD RECORDS
 
Akuna sku nmemdharau mess km sku wako ugenini kwa PSG skuamini dk 90 adi za nyongeza zinaisha Mess ata attempt 1 golini hakuna,alafu alafu wasioukubali ukweli bado tu wanamlinganisha na Nguli C.Ronado ifike sehemu watu basi muwe na aibu ! Mtachekwa jamani.Juzi tu kazenguliwa kodi kajifanya kususa na kuama nchi angalia sasa vilabu vinavopigana vigingi kumnyakua yani wako tayari kulipa gharama zote ilimrad wampate bila kujali umri wake ,uyu MTU ni bidhaa adimu jamani.

Mkuu sio hiyo ya PSG tu ile YA JUVE NAYO BARCA WALIKUWA NA SHOT-ON-TARGET MOJA TU NA ILO LENYEWE HAKUWA MESSI NI ILE AMBAYO SUAREZ ALIISIKUMIA KWENYE BOX ILA CHIELLINI AKAWAI KUICHEZA ALAFU AKAMPA MKONO BUFFON...YANI HAO WALIITIA AIBU SANA SPAIN KWA KWELI UKIZINGATIA WAO NDO WALIKUWA NYUMBANI(WENYEJI IN 2nd Leg Match)...BORA ATA RONALDO KULIKO MESSI JAPO HAO WANAZI WA MESSI WANANG'ANG'ANIA GOALS ZAKE NI ZA KUVIZIA LAKINI ATTEMPTS ON TARGET ANAZIFANYA NYINGI LABDA KIPA AZINYAKUWE MBALI NA APO NYAVU ZITACHEKA TU.

Screenshot_2017-06-03-19-15-00.png
 
View attachment 527592
KAKA MBONA HILI LA EL CLASSICO MNAKWEPA...MESSI ALIFANYA NINI? NA ROALDO ALIFANYA NINI?
 
Kwa mtu anaejua mpira huwezi kumponda Messi au C.R7 both ni wachezaji wazuri sana na wote wanaweza kukuharibia siku yako...tujivunie kuwaona kwenye hiki kizazi chetu...hayo mengine yaliobaki ni mapenzi tu kwao.
 
Back
Top Bottom