PELE: No doubt, Best Player in the World is Cristiano Ronaldo

Pionaire

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
1,130
2,000
The Brazilian legend concluded that non-ending war about who is best player in the WORLD.


DChrvVmXkAAvcit.jpg

DAImu6VWAAEgy_g.jpg

DBbaxHiW0AEPcav.jpg

DAGWwUZV0AAC_gQ.jpg

C-2jM1ZWAAA-uU3.jpg

DBkIWmUXoAAvYp-.jpg

IMG_201706160_100448.jpg
 

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,395
2,000
Hayo ni mawazo yako tu Mkuu but legends like him never lie...
Naamini niko sahihi nisemapo kila mtu anatumia macho yake kuitazama dunia.

Sio wewe ila wajinga watatumia macho ya wengineee!!!!
Wajinga = vipofu.
 

Pionaire

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
1,130
2,000
Naamini niko sahihi nisemapo kila mtu anatumia macho yake kuitazama dunia.

Sio wewe ila wajinga watatumia macho ya wengineee!!!!
Wajinga = vipofu.


All Soccer Legends admired him...[HASHTAG]#NoEffect[/HASHTAG] if you rejected him.
DCtDzkTXsAACXIV.jpg
 

Pionaire

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
1,130
2,000
2014 aliambiwa ataje timu anayodhan itanyakua kombe la dunia akasema england
Mkuu wewe umegusia vitu viwili tofauti...kwanza hapa Pele amezungumzia kuhusu Cristiano ambaye bado anapiga soccer na anapata achievements zinazoonekana wazi ikiwemo tuzo binafsi na vikombe vengine...Hilo swala la kusema ni timu ipi itanyakuwa World cup ni kama ubashiri Fulani ambapo kuna pande mbili either kufanikiwa kama alivyotarajia or kukosea tofauti na alivyotarajia yeye...na Hiyo ni kazi ngumu sana(WAULIZE WANAOBET HIYO OPTION WANAIITA OUTRIGHT WINNER) kama huamini angalia hapa baadhi ya mastaa mbalimbali akiwemo Cafu wa brazili walivyoulizwa na wanahabari Wa UEFA baada ya interview fupi...ikiwa ilikuwa ni siku moja kabla ya fainali ya UEFA-2017 [HASHTAG]#REALvsJUVE[/HASHTAG] na walibashiri hivyo kama unavyoona na matokeo yake baada ya mechi kuisha wote waliingia Chaka...kwa hiyo ulichogusia wewe hakiendani na alichokisema Pele juu ya Ronaldo maana Ronaldo ni mchezaji na anachofanya uwanjani pamoja na mafanikio yake vinaonekana hivyo ni rahisi kujudge!

2475172_w1.jpg

2475159_w1.jpg

2475173_w1.jpg

2475171_w1.jpg
 

pmuta

JF-Expert Member
May 9, 2016
782
1,000
Akuna sku nmemdharau mess km sku wako ugenini kwa PSG skuamini dk 90 adi za nyongeza zinaisha Mess ata attempt 1 golini hakuna,alafu alafu wasioukubali ukweli bado tu wanamlinganisha na Nguli C.Ronado ifike sehemu watu basi muwe na aibu ! Mtachekwa jamani.Juzi tu kazenguliwa kodi kajifanya kususa na kuama nchi angalia sasa vilabu vinavopigana vigingi kumnyakua yani wako tayari kulipa gharama zote ilimrad wampate bila kujali umri wake ,uyu MTU ni bidhaa adimu jamani.
 

Pionaire

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
1,130
2,000
Akuna sku nmemdharau mess km sku wako ugenini kwa PSG skuamini dk 90 adi za nyongeza zinaisha Mess ata attempt 1 golini hakuna,alafu alafu wasioukubali ukweli bado tu wanamlinganisha na Nguli C.Ronado ifike sehemu watu basi muwe na aibu ! Mtachekwa jamani.Juzi tu kazenguliwa kodi kajifanya kususa na kuama nchi angalia sasa vilabu vinavopigana vigingi kumnyakua yani wako tayari kulipa gharama zote ilimrad wampate bila kujali umri wake ,uyu MTU ni bidhaa adimu jamani.
Mkuu moja ya vilabu vilivyompigania Ronaldo baada ya uvumi ule kuzagaa kuhusiana na yeye kuondoka pale REAL...ilikuwa ni pamoja na Hertha BSC ya ujerumani inayocheza nafasi za juu Bundesliga wakikiri kuwa hawana PESA YA KUMRIDHISHA ILA WATAMPA USHIRIKIANO NA UPENDO ALIOKOSA MADRID...kwa mujibu wao.

Screenshot_2017-06-16-16-59-06.png
 

Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,105
2,000
Asiyekubali Ronaldo ni zaidi ya Messi...
1.Haujui mpira
2.Mahaba/mihemuko inamuongoza.Huyu hawezi kusema tofauti na kilichomo ndani yake (mahaba)
Na wewe kumbe unaongeaga Ungese Hujui Mpira wewe kila anaejua Mpira anajua Messi si Bora tu Kuliko Ronaldo Bali ni Mchezaji Bora kuwahi Kutokea Duniani na Katika Hii sayari!
Ukimind Andamana!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom