Pedi za kufua

Elly29

Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
47
Reaction score
10
Habari wamama na wadada nauza pedi nzuri sana za kufua. Ni nzuri sana kiafya hazina kemikali kabisa, ni pedi zinazodumu kwa muda mrefu sana, unatumia mwaka mmoja na zaidi. Zipo 4 kwenye packet. Na packet moja ni Tsh 10,000/= Zinapatikana Arusha,kwengine kote tunatuma kwa Bus kwa uaminifu sana, HAKUNA UTAPELI.

Mawasiliano 0765554391.
 

Kwa Wanawake wa mjini kama Dada zangu akina Nifah na miss chagga kwa jinsi walivyo Masista duu na wanavyoona Kinyaa sidhani kama hizi watathubutu kuzitumia. Na si hawa tu bali hakuna Demu wa Kimjini mjini atakayezitumia. Yaani wazitumie halafu wazifue zikauke na wazitumie tena? Vijijini soko lao litakuwa zuri ila siyo huku down Town.
 
Okay ..Santee kwa ushauri wako
 
hii me siwezi kaka acha tu hii fashion inipite
 
ila kuna dada nitampa namba yako atachukua
 
Naamini hata mijini watapata wateja wengi tu maana ukweli ukiacha hao uliowataja(japo siwafahamu) na wengineo wanaojiweza lakini pia wapo wengine wengi pamoja na kuishi mjini lakini hali zao za kiuchumi si njema
hayo maji ya kufulia nayo ni budget kubwa zaidi. maana hadi damu yote itoke ni ndoo tatu.ndoo moja buku
 
mkewangu huwa anazo hizi ila anazitumia sana occasionally labda kama yuko safarini au wakati anahisi am-mess up kuweka records za siku zake au mara nyingi kwenye siku zamwisho mwisho za mzunguko wake wa mwezi..!sidhani kama zinakuwa suitable kutumia kipindi cha hedhi
 
Naamini hata mijini watapata wateja wengi tu maana ukweli ukiacha hao uliowataja(japo siwafahamu) na wengineo wanaojiweza lakini pia wapo wengine wengi pamoja na kuishi mjini lakini hali zao za kiuchumi si njema
Ni kweli ukiachilia mbali hali ya uchumi..kiafya ni salama sana kwasababu hazina kemikali yoyote.
 
Reactions: OTG
Ni very suitable since zipo meant kwa wennye heavy flow.
 


Bora tu wazitumie kwa kuwa Wadada walio wengi kwa mjibu wa Mada nyingi zinzotolewa humu ndani Mbunye zao zinatoa harufu sasa huo umjini wao unazidia wa Kolomije ambao wanatumia Pedi za Kanga lakingi Bunye zao hazina harufu.. Case study Wolper na wale wenye kucha ndefuuuu..

Hahahahah Msinipige ila Michango mingi humu imewasema hivyo
 
sasa ufulie pedi maji machafu tena si itakuwa shida?
 
Kusema kweli mwanamke wangu nikimuona anatumia hizi pedi namuacha!!..wengine tunasafiri hadi uvinza mjue!!.asante kunionyesha picha zake.😀😀
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…