Pedeshee Jack Pemba atiwa mbaroni Uganda

Status
Not open for further replies.
shule
Wanaita Money Laundering kwa kiingereza,

What is 'Money Laundering'
Money laundering is the process of creating the appearance that large amounts of money obtained from serious crimes, such as drug trafficking or terrorist activity, originated from a legitimate source.

Kwamba ni kitendo cha kufanya pesa iliyopatikana kwa njia haramu ionekane kama vile ni halali/safi. Mara nyingi ni pesa za madawa, rushwa, ujambazi, ugaidi nk.

Na hii inahusisha fedha nyingi nyingi.[/QUOTE

SHULE KWELI NZURI MBONA BILLY GATE HAFANYI MAKEKE
 
JAck-2-001.jpg
images-3.jpg
images-136.jpg
images-215.jpg
images-214.jpg

Nawakilisha.....
 
Jack tulikwambia mambo ya ujiko sana kama matanuzi umeyajua ukubwani wakati umekulia Upanga ni ushamba.

Ukaona kama watu wanakuonea wivu.
 
Yule mtanzania pedejee Jack Pemba(Janja la kutafuta,fala la kutumia) Limetiwa mbaroni jana Entebe air port likitaka kutoroka nchini.Kwa tuhuma za utakatishaji wa fedha.
 
Wanaita Money Laundering kwa kiingereza,

What is 'Money Laundering'
Money laundering is the process of creating the appearance that large amounts of money obtained from serious crimes, such as drug trafficking or terrorist activity, originated from a legitimate source.

Kwamba ni kitendo cha kufanya pesa iliyopatikana kwa njia haramu ionekane kama vile ni halali/safi. Mara nyingi ni pesa za madawa, rushwa, ujambazi, ugaidi nk.

Na hii inahusisha fedha nyingi nyingi.
Kweli kabisa uwezi ela kuitafuta kwa jasho ukaitumia kama ivi maana haina uchungu.
 
Yule mtanzania pedejee Jack Pemba(Janja la kutafuta,fala la kutumia) Limetiwa mbaroni jana Entebe air port likitaka kutoroka nchini.Kwa tuhuma za utakatishaji wa fedha.
East Africa: Uganda, Tanzania Investigate Socialite Jack Pemba

http://allafrica.com/stories/201705030561.html
00400924:99150ff64104525e840c0f996e2c8741:arc614x376:w285:us1.png
Photo: Daily Monitor
Socialite Jack Pemba.
By Joseph Kato
Kampala — Following the reported arrest of socialite Jack Pemba, police have announced that he is being investigated by Uganda and Tanzania forces over money laundering.

Police spokesperson Asan Kasingye said he is yet to get details of the arrest, adding: "Tanzanian and Uganda police were investigating him over money laundering when I was still Interpol director."

Mr Pemba was reportedly arrested on Sunday night at Entebbe International Airport as he tried to leave the country. It was reported that he was apprehended by plain clothed security operatives who had been monitoring him.

Mr Pemba, who has kept many speculating on the source of his income as he gives out dollars at music concerts and sports events, was recently cited in a botched Shs2.5b gold scandal.

Mr Kasingye dismissed claims that Mr Pemba's illegal activities were being shielded by police.

An online publication recently reported that Mr Pemba's case file relating to fake gold transactions was withdrawn from Kampala Central Police Station (CPS) on orders of senior police officers.

The same sources reported that Mr Pemba is using police protection to dodge arrest over alleged crimes such as drink driving.

source: East Africa: Uganda, Tanzania Investigate Socialite Jack Pemba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom