Pedderef sober house

Pedderef sober house

Joined
Sep 29, 2016
Posts
3
Reaction score
9
Huduma ya kuachisha utumiaji madawa ya kulevya
1475272695221.jpg

Tuna uzoefu wa kuwasaidia waathirika wa madawa ya kulevya, kituo chetu kimeanzishwa mwaka 2013 mpaka sasa tumesha wasaidia watu 468, kati yao 421 wanaendelea vizuri na 37 wamerdia 10 hatuna mawasiliano nao, kama una ndugu jamaa au rafiki mwenye tatizo la madawa au pombe kupita kiasi, msikate tanaa njia ya usaidizi ipo wasiliana na Pedderef sober house kigambo dar es salaam, au Pedderef sober house dodoma au piga namba 0719058905 na 0625572010
kuishi bila kutumia madawa inawezekana
 
..ok ngoja nitumie alafu nije
 
Ongezeni bidii katika kuzuia vyanzo vya hayo madawa si kuongeza hizo house tu.
 
Gharama yake ni ngapi? kuna ndugu yetu hapa ana shida hiyo
 
Back
Top Bottom