Why always Mbowe? Cheyo, Rungwe mbona hamuwasemi?
Wanyakyusa wanamsemo usemao ' ukiona wanakutaja ujue wanakukubali au wanakuogopa'
Binadamu hawana habari na mtu maskini au asiye na influence.
Tunajua mumepanga kuiba kura za Uraisi lakini OLE WENU safari hii hao polisi ambao hawafiki hata elfu 20 na sisi Watanzania ni Milioni 60 sijui kama watatuzuia.