Pdf file

Pdf file

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,749
Reaction score
7,024
Nimescan vyeti vyangu naomba msaada namna ya kuviweka kwenye file 1 la PDF. Natanguliza shukrani wadau.
 
Fungua word document. copy vyeti then vipaste kwenye hiyo document. wakati wa kusave document chagua format ya pdf
 
sijapata msaada ndugu zangu,
mwenye kulifahamu hili tafadhali
 
Kama una Nitro Pdf converter kwenye computer yako ni rahisi unaconvert documents zako then kuna option ya kucombine pdf files zako ziwe ktk 1 pdf..
 
Kama una Nitro Pdf converter kwenye computer yako ni rahisi unaconvert documents zako then kuna option ya kucombine pdf files zako ziwe ktk 1 pdf..

huku umeme shida,
sina hiyo program Mkuu wangu,
naomba msaada tafadhali.
Nimeku p-m mkuu,
 
Huna computer sasa hiyo ni issue km huna ila peleka stationary watakufanyia km unayo just copy na fungua office microsoft word ukisave save kwa pdf.
 
Huna computer sasa hiyo ni issue km huna ila peleka stationary watakufanyia km unayo just copy na fungua office microsoft word ukisave save kwa pdf.

ahsante kwa ushauri Mkuu
 
Nimescan vyeti vyangu naomba msaada namna ya kuviweka kwenye file 1 la PDF. Natanguliza shukrani wadau.
Unatumia office ipi?2003?2007? 2010 au 2013?Office 2007 kuan kiprogram unaweza weka kinaitwa "saveaspdf",ila office 2010 hiyo option ya kusave kama pdf ipo,ila kama hayo yote huwezi download kitu kinaitwa "doPDF" hiki kinafanya kazi kama printer.Baada ya kuwa umeinstal,hiyo doc yako utakuwa kama unataka kuprint ila printer utachagua "dopdf"kwa sababu naamini unajua kusoma unaweza chagua isave wapi au by default kuna sehemu document zako zitawekwa baada ya kuwa zimefanywa kuwa pdf.All the best.
 
Back
Top Bottom