PDF Editor | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PDF Editor

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mwazange, Mar 11, 2010.

 1. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakuu natafuta PDF Editor software chapchap, nimejaribu kuzungukazunguka, naonana na nitroPDF pekee, kama kuna mwenye nayo nyingine naomba msaada, au hata kama kuna mahali humuhumu ndani ipo, naomba mnielekeze ilipo then hii nyuzi inaweza kufungwa.
  Nipo pembeni hapa nasubiria.....

  Aksanteni....
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kuna hizi

  FoxIt PDF , nyingine ni Infix PDF Editor na nyingine ni Abdio PDF Editor

  Nenda site inaitwa piratebay.org au thepiratebay.org utazikuta na nyinine nyingi

  NB
  before u can download anything kwenye hiyo site u need to have bittorrent or uttorent installed or the likes.
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Mar 11, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tembelea www.pdfonline.com sehemu ya PDF2WORD utaweza kubadili Document yako kwenda word unaedit halafu unarudisha tena PDF hiyo ni bure kabisa hizo site alizokupa hapo chini zinatoa pirated copies sio salama kwako unaweza kusababisha matatizo
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Usalama gani unaongelea wewe mkuu? tuelimishane
  Navyofahamu mimi kuna watu wanajitolea hawapendi kuona haya makampuni yananyonya watu kwa faida kubwa. Je mi nikinunua sofwatre nikapata keys . Nikikupa hizo keys wewe itakuwa ni Pirate au nimeshare tu.

  Dont get traped na na capitalism. sharing is good Piratebay na demonois is about sharing na ni nzuri hasa kwa nchi zetu na watu wengi hatuna uwezo. Na wenyewe wansema kama una uwezo go buy original CD

  As a home user piratebay ni mkombozi wangu na nimeokoa kiasi kikubwa cha pesa. kama wewe una uwezo wa kununua au unauza hilo ni suala lingine

  OS- New Windows 7 Home Premium Edition cost £149.99, while the Professional version cost about be £200.99 and the Ultimate Edition £229.99.

  Antivirus- Cost is at about £30 pc
  Microsoft Office full cost about- $399.9 per pc

  Haya bado hapo hujaenda kwa kina adobe na wengine.


  For most tanzania home user Piratebay or demonoid is FEASIBLE

  SHARE SHARE SHARE SHARE SHARE SHARE.
   
 5. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Achana na shy,amekuwa brainwashed huyo!We mwaga maujuzi hapa watu wahangaike nayo wenyewe.lol
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Mar 11, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  nimekuambia tu kwamba kama unajali nunua kitu halali au tatufa zinapopatikana programu hizo bure kama nilivyotoa hapo pdf online lakini pale unapojaribu kudownload na kutumia ni uhalifu moja kwa moja na mtaanza kutafutwa kwa tabia zetu hizi moderator usiruhusu post zinazohusu haya mambo unashusha hadhi ya jukwaa kama mtu anatafuta pirates wawasiliane pm sio hapa hadharani
   
 7. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2010
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Shukrani wakuu wote mliochangia, kweli JF kisima cha wajuvi.
  I dont know why sikufikiria kama mkulu shy alivyosuggest....pengine nilikuwa under deadline pressure.....
   
 8. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #8
  Mar 14, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  InfixPro PDF Editor 4.13 Portable | 23.14 Mb

  PDF Editor is a tool for editing text in existing PDFs and allows you to manipulate graphics, images and pages created with any kind of PDF application. Infix PDF Editor makes it easy to update PDF files if the original source file is missing. This is especially advantageous for keeping newsletters, brochures, technical manuals and reports up to date. Infix comes with features like updating footers in documents with hundrets of pages in the twinkling of an eye.Conversion from PDF to DOC or RTF files offers sharing complex contents with others. Infix is free of charge if you use it for your studies or charitable purposes.

  * Edit PDF like a Word Processor
  * Make changes to paragraphs and columns of text
  * Copy and paste graphics and text between PDFs
  * Spell-check PDFs in 20 languages
  * Search & replace in long PDF documents
  * Make corrections to hidden text in scanned OCR PDFs
  * Use tabs, margins and indents controls for better layout

  [​IMG]
  http://hotfile.com/dl/32586361/9abec1b/InfixPro_PDF_Editor_4.13_Portable.rar.html


  [​IMG]
   
Loading...