Pccb

Pccb

Mkuu mleta mada ungepekuwa humu humu kuna thread kama nadhani kumi hivi kuhusu hawa jamaa unaowaulizia pia Mods wanaweza kuziunganisha ili watu wafuatilie kwa ukaribu sana maana kila uchao zinazidi kuongezeka. Nadhani bado maana kwa hapa jf ungeshajua kinachoendelea kule
 
Shortlist bado hawajatoa.Bila shaka ndani ya mwezi huu jamaa wataita watu interview.Tuvute subira.
 
Wakuu ni vyema huku pccb wakisikiliziwa kutoa haoo watakao kua shortlisted...japo mtu kutafuta na mishe zingine.Sio mwisho wa siku mambo yakiwa ndivyo sivyo usije pagawa(Cha msingi kupiga sala tu).Nawasilisha waungwana.
 
Back
Top Bottom