Vyetu hua vinakuepo sema ile dharau na utoto nadhni watu wengi huwa hawavijali ..nakushauri nenda shule ulomalizia watakupa..mi binafsi nnacho cha kwangu ni memaliza 2003....
well said munkari, hapana chezeiya pccb hapa twafukuzwa kijanja kwel. Nkipata uhakika kama huwa vinatolewa itabidi nirudi kjijini kwetu nliposoma msingi nikakisake.
Umeanika Jina kaka
Binafsi sina cha kunishangaza zaidi meenda shule niliyosoma cheti hakionekani na nimemsaidia kutafuta hiko cheti hakipo ila vingine vipo sielewi nafanyaje sasa zaid zaid wananambia ntoe ef5 wantengenezee living waeke na picha sasa je na hii sura yakiutuuzima inakuaje??na ni vipi cheti kinapotea celew pia
hahahahaha nijikeMkuu wa shule anacho kitabu cha kuandika vyeti ni suala tu la kuchukua details zako ba kukuandikia cheti kipya kwa gharama ya 5000, kama huyo mwalimu ni jidume na we umesema una hips basi interview yako inaanzia hapo
Mi nilimaliza la 7 mwaka 1985 nimeenda wanasema vyeti miaka hiyo vilikuwa havitolewi.
Mi nilimaliza la 7 mwaka 1985 nimeenda wanasema vyeti miaka hiyo vilikuwa havitolewi.
Mimi nimemaliza mwaka 2000 na hapa nipo ofisini kwa mwalimu mkuu utaratibu wa kuandikiwa cheti umechukua just one hour gharama 5000 tu na ushahidi wa cheti huo hapo
Huyo afisa elimu wa mkoa ndo atasaini kesho au ni magumashi! Maana leo th 02 cheti kinaonyesha kasaini th 3 oct.. kama umetuma maombi leo ndo umeliwa hivyo!Mimi nimemaliza mwaka 2000 na hapa nipo ofisini kwa mwalimu mkuu utaratibu wa kuandikiwa cheti umechukua just one hour gharama 5000 tu na ushahidi wa cheti huo hapo