Pccb kunakucha lini

Pccb kunakucha lini

sukhote4000

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
27
Reaction score
4
Mwenye updates atujuze kuhusu hwa wapambanaji wa rushwa naskia eti walisema majibu ni ndani ya wiki hvi ni kweli au swaga tuu
 
NI kweli walisema wiki hii lakini hawakusema ni siku gani katika wiki hii,kuwa mvumilivu na utembelee website yao mara kwa mara kwa taarifa zaidi
 
KUPATA AU KUKOSA YOTE IN MATOKEO. MUNGU MWEMA ZAIDI NI KUOMBA FURSA ZINGINE ZITOKE MAKAMPUNI MENGINE NA SEKTA ZINGINE NZURI ZA SERIKALI.WATAKAO PATA UPELELEZI MWEMA KULE WAENDAKO.

NB:MAISHA YA AJIRA NI SAFARI NDEFU!Ndg huwezi kuamini kama kuna MUNGU.Iwapo utabaki katika furaha milele bila kupitia shida!.Daima wakati wa shida kila mtu hupenda kuwa karibu na mungu kuliko wakati wowote ule!Ikumbuke "JANA" kama "SOMO" Itazame "LEO" Kama muda wa kurekebisha kasoro za "JANA" WATAHIMIWA WA USAILI PCCB WAITAFAKALI KESHO KWA KUWA NI KITENDAWILI.HAKUNA KATI YENU AJUAYE KAMA ATAPATA AU KUFIKIA NDOTO YAKE.Cha msingi ni kumshukuru MUNGU kwa kupata zawadi ya kuiona leo.Wote nawatakia subira njema.
 
Naaaam umenena kwa hekima sana ndugu...maneno yako yanatoa tafakari,faraja na maoni pia,na mwisho kabisa yanaeonyesha ukuu na matumaini kwa Mungu ndo kila kitu na yy ndo wakushukuriwa kila leo.Amina sana ndugu na barikiwa!
 
KUPATA AU KUKOSA YOTE IN MATOKEO. MUNGU MWEMA ZAIDI NI KUOMBA FURSA ZINGINE ZITOKE MAKAMPUNI MENGINE NA SEKTA ZINGINE NZURI ZA SERIKALI.WATAKAO PATA UPELELEZI MWEMA KULE WAENDAKO.

NB:MAISHA YA AJIRA NI SAFARI NDEFU!Ndg huwezi kuamini kama kuna MUNGU.Iwapo utabaki katika furaha milele bila kupitia shida!.Daima wakati wa shida kila mtu hupenda kuwa karibu na mungu kuliko wakati wowote ule!Ikumbuke "JANA" kama "SOMO" Itazame "LEO" Kama muda wa kurekebisha kasoro za "JANA" WATAHIMIWA WA USAILI PCCB WAITAFAKALI KESHO KWA KUWA NI KITENDAWILI.HAKUNA KATI YENU AJUAYE KAMA ATAPATA AU KUFIKIA NDOTO YAKE.Cha msingi ni kumshukuru MUNGU kwa kupata zawadi ya kuiona leo.Wote nawatakia subira njema.

Mungu atafanya kitu.

Ni naamini yangu huu ni wakati ambao Mungu ataenda kuniondolea aibu na kejeli za watu ambao pengine wanadhani walipata elimu bora kuliko yangu, kwani mara nyingi Mungu amekuwa akijitokeza na kujibu shida za watu wake pale GIZA NENE linapokuwa limetanda juu yao na wasijue cha kufanya.

Na hata nyie mlio na wakati mgumu kama wangu hebu na tuwe na imani hii ya kwamba siku watakapotoa majina hayo na yetu yatakuwa ni mojawapo.
 
Mkuu umenitoa machozi na kunipeleka mbali sana kifikra,nikifikiria jinsi ninavyopitia haya mapito ya kutafuta ajira napata huzuni na kufa Ganzi,sababu kila unavyoendelea kumtumaini na kuomba kwa Mungu Mkuu mwenye Utukufu ndio kiza kinazidi kuongezeka,but najua huu ni Ukuu wa Mungu kupima Imani yako na pia yeye anafahamu ni sehemu gani aliyopanga akuweke kwa wakati wake. Nimedhihakiwa,kukashifiwa,kukosa thamani kwa watu na kikubwa na kibaya kuliko vyote na kinachoniuma mpaka leo ni Mpenzi wangu,yule niliempenda,kumfanyia mambo yote Mema na Makuu kuniacha kisa tuu,eti amaechoka kukaa na Mimi nisie na ajira ambae future yangu imejaa Giza. But bado nina Imani na Matumaini kwa huyu Mungu Mkuu,kama kweli ni yeye huyu aliwashindia wana wa Israel wakati wanavuka Bahari ya Sham,basi na Mimi naamini atanishindia dhidi ya huyu adui yangu Ukosefu wa Ajira.
 
KUPATA AU KUKOSA YOTE IN MATOKEO. MUNGU MWEMA ZAIDI NI KUOMBA FURSA ZINGINE ZITOKE MAKAMPUNI MENGINE NA SEKTA ZINGINE NZURI ZA SERIKALI.WATAKAO PATA UPELELEZI MWEMA KULE WAENDAKO.

NB:MAISHA YA AJIRA NI SAFARI NDEFU!Ndg huwezi kuamini kama kuna MUNGU.Iwapo utabaki katika furaha milele bila kupitia shida!.Daima wakati wa shida kila mtu hupenda kuwa karibu na mungu kuliko wakati wowote ule!Ikumbuke "JANA" kama "SOMO" Itazame "LEO" Kama muda wa kurekebisha kasoro za "JANA" WATAHIMIWA WA USAILI PCCB WAITAFAKALI KESHO KWA KUWA NI KITENDAWILI.HAKUNA KATI YENU AJUAYE KAMA ATAPATA AU KUFIKIA NDOTO YAKE.Cha msingi ni kumshukuru MUNGU kwa kupata zawadi ya kuiona leo.Wote nawatakia subira njema.

Mkuu neno lako la kheri na MUNGU atuongoeze
 
Mkuu umenitoa machozi na kunipeleka mbali sana kifikra,nikifikiria jinsi ninavyopitia haya mapito ya kutafuta ajira napata huzuni na kufa Ganzi,sababu kila unavyoendelea kumtumaini na kuomba kwa Mungu Mkuu mwenye Utukufu ndio kiza kinazidi kuongezeka,but najua huu ni Ukuu wa Mungu kupima Imani yako na pia yeye anafahamu ni sehemu gani aliyopanga akuweke kwa wakati wake. Nimedhihakiwa,kukashifiwa,kukosa thamani kwa watu na kikubwa na kibaya kuliko vyote na kinachoniuma mpaka leo ni Mpenzi wangu,yule niliempenda,kumfanyia mambo yote Mema na Makuu kuniacha kisa tuu,eti amaechoka kukaa na Mimi nisie na ajira ambae future yangu imejaa Giza. But bado nina Imani na Matumaini kwa huyu Mungu Mkuu,kama kweli ni yeye huyu aliwashindia wana wa Israel wakati wanavuka Bahari ya Sham,basi na Mimi naamini atanishindia dhidi ya huyu adui yangu Ukosefu wa Ajira.

Pole sana mkuu, naamini umemwachia Mungu, ukipata ajira nakuhakikishia huyo mpenzi atakuwa wa kwanza kurejesha upendo cha kufanya usimpe nafasi katu hakufai mwombe Mungu akupe mchumba mwema.
 
Mkuu Fidel80 Asante sana Kaka,haya ndio Maisha tunayopitia sisi Wanaume hasa katika swala hili la Ajira lenye utata kwa Nchi yetu,yaani nikikumbuka mambo mazuri niliyomfanyia tena nikiwa ndio nimetoka kumaliza Chuo na leo hii amesimama na kuwa Msichana mwenye Msimamo na Maisha yake mazuri kwa ajili ya Upendo wake kwangu,leo hii ananitema kisa eti amechoka kusubiria asubuhi isiyopambazuka,tena kwa matusi na kashfa juu,ndio linanizisha machungu na hasira kuwa unemployed mpaka inafikia kipindi unakufuru Mungu kuwa anaupendeleo kwa watu fulani.
 
Back
Top Bottom