Pccb kunakucha lini

Pccb kunakucha lini

Mkuu Fidel80 Asante sana Kaka,haya ndio Maisha tunayopitia sisi Wanaume hasa katika swala hili la Ajira lenye utata kwa Nchi yetu,yaani nikikumbuka mambo mazuri niliyomfanyia tena nikiwa ndio nimetoka kumaliza Chuo na leo hii amesimama na kuwa Msichana mwenye Msimamo na Maisha yake mazuri kwa ajili ya Upendo wake kwangu,leo hii ananitema kisa eti amechoka kusubiria asubuhi isiyopambazuka,tena kwa matusi na kashfa juu,ndio linanizisha machungu na hasira kuwa unemployed mpaka inafikia kipindi unakufuru Mungu kuwa anaupendeleo kwa watu fulani.

Mshukuru Mungu kwa kila jambo, Bora amejipambanua mapema tabia yake ya kupenda pesa kuliko utu, endelea kumuomba Mungu usichoke kama ipo ipo tu.
 
2mwmbeni Mungu kesho ttacheka au knuna yote majariwa nayote 2mushukuru mola yote mapendo yake mungu yu mwema najua one day yataisha 2 hata 2siogope mandugu mungu ndo jibu le2
 
Back
Top Bottom