Kwangu mimi naona hii sio comb ya kukimbilia kwa sasa kwani kila mwenye uwezo wa juu ana ndoto za udaktar, sasa angalia vyuo vyetu vya udaktari na ada zake ni hatari, huyu PCB anapata div 2 udaktar anatemwa je ataenda ualimu tu.
Ila angalia PCM wana program nyingi sana ambapo mwenye div2 ni vigumu kukosa eng vyuo kama UDOM, MUST, DIT, na vinginevyo na kwa ada ya kawaida. Hivo mimi nimeichukia sana PCB ingawa ni kombi yangu iliyoniweka MUHAS