Inategemea na size.Gharama za hard disk zikoje mkuu
Size yake ina kama gb 35 hiviInategemea na size.
Unataka upate ya size gani? Na kwa sasa unatumia size gani?
Pc yako ni ya aina gani? Desk au Laptop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ndogo sana. Sure unahitaji kuongeza. Kama huna matumizi makubwa nunua 320gb ila kama una matumizi ya wastani pata 500gb ila kama una matumizi makubwa zaidi tumia 1TB.Size yake ina kama gb 35 hivi
We upo darNi ndogo sana. Sure unahitaji kuongeza. Kama huna matumizi makubwa nunua 320gb ila kama una matumizi ya wastani pata 500gb ila kama una matumizi makubwa zaidi tumia 1TB.
Ila kuhusu windows 7 unaweza kuweka kwenye disk hiyo hiyo. Japo ungetaja sifa nyingine za laptop yako kama vile processor na ram ingekua poa zaid.
Sent using Jamii Forums mobile app