PC yangu inashindwa ku-start windows | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PC yangu inashindwa ku-start windows

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Edward Teller, Apr 27, 2012.

 1. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wakuu laptop yangu jioni hii baada ya kuizima bila tatizo lolote mchana,nimerudi nataka kuwasha inagoma/inashindwa kuwaka-inatoa blue screen then inaji-restart yenyewe-kila kushindwa kuwaka kabisa
  Imenipa options ya kufix problem automatically lakini imeshindwa-nataka ni-reinstall windows tena-lakini nasita kufanya hivyo coz nahisi kuna nJia ambayo naweza solve hii mambo bila kure-instal windows-
  KAMA KUNA MTU MWENYE CLUE YA TATIZO KAMA HILI AU ASHAKUTANA NA TATIZO KAMA HILI NA AKALIMALIZA VYEMA-NAOMBA MSAADA WENU
   
 2. dlink

  dlink Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15

  Try to repair your windows though hujasema ni windows gani iliyopo kwasasa, but final destination ya BlueScreen ni Reinstallation of a new copy of Windows. But you can save all you data that are may be included in the previous windows in your Desktop and My Documents other locations by Booting from CD/DVD ya Ubuntu/Mint/LiveCD try to use Ubuntu from CD/DVD then utafungua PC yako hapo utaziona all your DRIVES (PARTITIONS) na kuweza kuhamisha all your documents from drive (C) which are contained in windows files to any Other drive (D/E) used for BackUp.
  >>>>>>feedback
   
 3. h120

  h120 JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1,807
  Likes Received: 1,390
  Trophy Points: 280
  Bluescreen error itajitokeza endapo pc itatambua kuna software au hardware ambayo inaweza ku damage system imeongezeka ktk pc yako sometime inatokea kama umebadilisha RAM,HDD,n etc au kama ume-install software ambayo si familiar na system.
  Ili ku-repair kwa urahisi unatakiwa uwe na system image ambayo uli backup pindi ikiwapo nzima vinginevyo ni kufanya fresh installation ya window(install upya).
   
 4. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,115
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  washa pc yako ukiwasha minya f8 continously mpaka menu flan itokee chagua Disable
  Automatic Restart KAMA HAITAWEZEKANA ingiza boot cd then hadi ikitokea ile PRESS R TO REPAIR hapo kitatokea kibox cha kwanza andika fixboot afu minya enter then andika tena chkdsk minya enter you are done andika exit minya enter zima pc yako toa cd
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wakuu asanten kwa michango yenu-nimeona nireinstall windows tu as a shortcut
   
Loading...