Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,291
- 6,693
Msaada wakuu
Hapo nashindwa kuiadd hiyo unallocated kwenye C.Nimejaribu kuweka softwares za kufanya hivyo ila mwishoni inataka nilipie kwanza ndio iendelee na mimi sitaki kutoa hela.. kwahiyo softwares za easUS na AIOMEI zisitaki.
Msaada wenu mkuu