Chek vga cable itakuwa ime loose au badirishahabari wadau,
tatizo langu ni pc yangu monitor yake kimebadlika rangi yaani kinaonesha rangi ya pink na kijani..msaada wenu nahitaji na sijaiangusha wala kuibamiza na kitu chohote..
kioo hicho kimepoteza rangi... kama huamini unga external uone kama haionekani fresh..!!!!
tatizo la kioo kupoteza rangi linasababishwa na vitu viwili...hata mimi nina tatizo kama hilo kwenye toshiba yangu nikiunga kupitia hdmi picha inakuwa fresh bt yenyewe imekuwa black and white.... na michirizi upande mmoja wa kioo