Hi wana JF,
Niliiformat mashine yangu, na kwa bahati mbaya drivers za webcam zikagoma kurudi. Sasa nitafanyaje nizirudishe? PC yangu ni window 7, vista. Nimejaribu kudownload naona inazingua sasa cjui itakuwaje. Mwenye wazo nisaidie
Inaonekana hiyo pc yako ilikuwa ina winndows xp au vista so ukaiupgrade kwenda kwenye windows 7 ndio sababu ikakataa so unachotakiwa kufanya irudishe kwenye windows yake au download driver kwa internet.