Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Daah nilisahau kabisa kupita huku aiseeUngeuliza kwanza ndio ukaenda mimi ya kwangu iliponea pale machinga
Ni wapi huko mkuu, nataka nipeleke ya kwangu nikitoka safari maana imezima ghafla inashindwa kudisplay japokua chaji inaingia.Daah nilisahau kabisa kupita huku aisee
Ni wapi huko mkuu, nataka nipeleke ya kwangu nikitoka safari maana imezima ghafla inashindwa kudisplay japokua chaji inaingia.
Mkuu mimi pc yangu ilikuwa safi sasa nikahitaji ku update window nikampelekea mtu. Ilikuwa 7 pro akaweka 7 ultimate basi yani asahivi ukifungua picha na video yani zinachengachenga balaa yani huoni kitu sio clear huelewi. Nimehangaika kufanya setting lakini wapii. Sijui tatizo itakua ninTutafutane pm mkuu, nijue nakusaidiaje lakin hilo tatizo dogo
UPDATE GRAPHICS DRIVERSMkuu mimi pc yangu ilikuwa safi sasa nikahitaji ku update window nikampelekea mtu. Ilikuwa 7 pro akaweka 7 ultimate basi yani asahivi ukifungua picha na video yani zinachengachenga balaa yani huoni kitu sio clear huelewi. Nimehangaika kufanya setting lakini wapii. Sijui tatizo itakua nin
- Fanya clean installation ya toleo la OS (window) unahitaji.Ilikuwa 7 pro akaweka 7 ultimate basi yani asahivi ukifungua picha na video yani zinachengachenga balaa yani huoni kitu sio clear huelewi.
Kwahiyo nipige window upya. Nahitaji ni upgrade to win10 vipi nita solve.- Fanya clean installation ya toleo la OS (window) unahitaji.
- Fanya update ya drivers
Itakuwa tayari kwa matumizi bila tatizo lolote
- Usifanye upgradeNahitaji ni upgrade to win10 vipi nita solve.
Ni wapi huko mkuu, nataka nipeleke ya kwangu nikitoka safari maana imezima ghafla inashindwa kudisplay japokua chaji inaingia.