Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,748
- 28,140
Wakuu leo mchana nimeitumia fresh tu.. Nikaizima ila wakati nachomoa waya wa power ukagusa ile port ya vga kukatokea kama kishot kwa nje..
Sasa hivi nawasha haiwaki..
CHIEF MKWAWA na wengineo Msaada.
PC ni dell core i2
Mrejesho...
wakuu ile PC Jana tu nimeitoa kwa fundi 70000..nmelipa
Mwenye PC nlienda nae alieniuzia.. Fundi kasema adapter yake ya mwanzo ndo iliunguza.
Leo tu tena PC limegoma kuwaka.. Nmemfata mwenye PC anipe Hela yangu aache utapeli PC nmetumia siku moja tu kwa fundi tena duh... Jamaa ananivimbia..
nfanyaje sasa?? au nimuoneshe uhuni au nikamshtaki mafundi wanasema PC mbovu pia..