PC YANGU HAIWAKI GHAFLA, Ni nini tatzo?.

Simple on looking

Senior Member
Joined
May 27, 2014
Posts
100
Reaction score
34
Habari za mda huu wakuu.
Nina PC aina ya Mecer, ilikua nzima kabisa lakini kwa sasa haiwaki. Nmepeleka kwa mafundi wakanambia maybe INVIDIA ina tatizo lakini hawakufanikiwa kuitengeneza.
Je tatzo litakua nini wakuu ?
 
Sasa kama tatizo ni hiyo Nvidia GPU si Waitoe Then wawashe mashine
au ni laptop?
 
Habari za mda huu wakuu.
Nina PC aina ya Mecer, ilikua nzima kabisa lakini kwa sasa haiwaki. Nmepeleka kwa mafundi wakanambia maybe INVIDIA ina tatizo lakini hawakufanikiwa kuitengeneza.
Je tatzo litakua nini wakuu ?
Uko wapi .mkuu
 
Back
Top Bottom