omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Habar wanajf niko na pc aina ya hp nimehangaika sana kutafuta setting ya kupunguza mwanga lakin siioni hadi nimechoka yan sijui shida window iliopo au vp???? Msaada plz
Ebana hio fln najaribu kubonyeza bado inagoma mwambambona kuna kabotton fln hapo kwa chini ya kioo.........unabonyeza tu mwanga unapungua
Hako kabatan kakoje coz nahangaika naona waap sion seem enyewEbana hio fln najaribu kubonyeza bado inagoma mwamba
Mmmh mkuu labda kama kuna alternative way nyingine unisaidie ila kwa button hizo imegomaatest hzo botton hapo...nakumbuka katika hzo kuna mbili ambazo moja unapunguza ingine unaongeza..
Nilitumia hzo hp miaka minne iliopita
Duh we have the same problem hata iwe zero bac inawaka km 100 na mwisho inafka 25 tu nimechokaHabar wanajf niko na pc aina ya hp nimehangaika sana kutafuta setting ya kupunguza mwanga lakin siioni hadi nimechoka yan sijui shida window iliopo au vp???? Msaada plz
Yngu ni hp elitebook convertibleHabar wanajf niko na pc aina ya hp nimehangaika sana kutafuta setting ya kupunguza mwanga lakin siioni hadi nimechoka yan sijui shida window iliopo au vp???? Msaada plz
Au akishindwa kabisa atafute miwani ya giza (tinted)!mbona kuna kabotton fln hapo kwa chini ya kioo.........unabonyeza tu mwanga unapungua
Jaribu kufuata ushauri huo hapo juu! Iwapo umeipata hiyo button na ukabonyeza lakini mwanga usipungue, basi computer yako itakuwa haina driver za mwanga. Jaribu ku download.Habar wanajf niko na pc aina ya hp nimehangaika sana kutafuta setting ya kupunguza mwanga lakin siioni hadi nimechoka yan sijui shida window iliopo au vp???? Msaada plz
wacha weeeeAu akishindwa kabisa atafute miwani ya giza (tinted)!
Thread closed.

HpNa pia hakikisha ume install driver zote na unatmia pc ya aina gani?
Ume install driver zote kwenye pc yako??
Unatumia Windows gani?Habar wanajf niko na pc aina ya hp nimehangaika sana kutafuta setting ya kupunguza mwanga lakin siioni hadi nimechoka yan sijui shida window iliopo au vp???? Msaada plz
7 professionalUnatumia Windows gani?
Hapo kuna driver zimemis hata mm nlishapataga tatizo kama hilo7 professional
Na nikichange window inaeza kubali au ndo bas tenaHapo kuna driver zimemis hata mm nlishapataga tatizo kama hilo
Tatizo lako ni dogo tu graphics drivers ndo zina missNa nikichange window inaeza kubali au ndo bas tena