inahitaji investigation zaidi
je inapogoma ku-reboot inatoa error message yoyote au inakuwa black (as black screen of death)?
inawezekana ilikuwa reset ifanye booting kwa device nyingine tofauti na hard drive - CD au USB katika BIOS.
anyway, kabla sija-speculate na kukupa ushauri mbovu, toa maelezo zaidi kuhusu behaviour ya mashine yenyewe.
pia tujue ni specs gani - make + model, os, processor, memory na mambo kama hayo.hivi vitu viko specific sana.