PC maalum kwa ajili ya game inauzwa

PC maalum kwa ajili ya game inauzwa

Mimi nahitaji
games tu za pc, hasa za action adventure
kama gta 4, maxpayne, uncharted, assassin's
creed, splinter cell, hitman.. Gta 5 version ya
pc itatoka mwezi wa kumi so hiyo itasubiri
kidogo.. Halafu naomba unifahamishe kama hii
ndio biashara yako ili nikutafute ninapohitaji
pc game.
 
Hiyo workstation siyo maalum kwa gaming bana, kwanza hizo gpu za Quadro fx ni special kwa ajili ya rendering, CAD, CAM. Kwenye gaming ni GTX series ndo mahususi.

PSU 845W -Hapa jiandae kufunga ndoa na tanesco.

Kwa watu wa studio (video production) CAD & CAM pro haya madude yanawafaa sana.

Mkuu unamaanisha hii PC inakula sana umeme?
 
Je wewe unapenda pc games au mtu wa graphics au mtu wa editing basi njoo nikuuzie mashine ya kibabe Dell precision T7400 Xeon 2.33ghz(8cpu),ram 2 gb up to 64 gb,hdd 4T,graphics card nvidia Quadro fx .....nicheck hapa 0655090000
 
Mkuu mjomba fujo....naona unabishana na ukweli...nimesema hii mashine inacheza game za kisasa na ndani ya hii mashine kuna game zaidi ya 70....kwa mtu yoyote mwenye kuipenda hii mashine kabla ya kulipana anafungua game zote zilizopo humu na kucheza akilizika ndio tunalipana...hii mashine huuziwi tu kibubububu....unajua baadhi ya watanzania ni mabingwa sana wa kuongea kwanza jaribu then ndio uje hapa na details kuwa haiwezi...sio kusema wakati hujui....labda tu kwa taarifa yako nina uzoefu na computer zaidi ya miaka 15 na kazi zangu zinahusu hii makitu nafanya graphics na video editing. ..na ni mpenzi mkubwa wa game na ipo sehemu humu jukwaani nilifuangua kuhusu game....yaani sijaongea tu najua ninachokisema ndio maana nimesema humu jukwaani...samahani lakini mkuu mjomba fujo kama nimekukwaza.....nawasilisha.
hata naungana na mjomba fujo hio pc si kwa ajili ya games na hizi ndio sababu

1. ina gpu ya quadro na sio gtx, hio gpu ni kwa ajili ya pro apps kama za kuedit 3d, video na animation
2. hio xeon cpu ina single thread perfomance ndogo sana inapitwa na ile i3 na i5 uliokuwa unauza, kwenye games itachemka ni games chache sana hazihitaji single thread perfomance kubwaa pia software za CAD na baadhi ya 3d apps zinataka single thread perfomance kubwa hivyo hio cpu pia itachemka
3. pia nimecheki hio cpu ina core 4 na kama unasema ni nane inamaana ni dual socket kuna cpu mbili na xeon zinatumia sana umeme plus hio graphics card hii machine inakunywa sana umeme.

unatakiwa uitangaze kwa watu wanaoedit video na kufanya rendering nyingi au watu wataotaka kuitumia kama server, xeon ni cpu nzuri kwa server
 
Hii ni biashara kama biashara nyingine why unaongea sana...Kuna mtu kakulazimisha kununua?au nimekutag katika hii biashara au nimemhusisha mtu yoyote na hii biashara?...kwa mtu ambaye angetaka ningemsibitishia maneno niliosema kwenye uzi wangu....punguza kuwashwa mkuu?....@chief mkwawa wengine wengi mnaowasha na biashara za watu
 
hebu soma hapo juu ni jukwaa la nini hili? na kuwadanganya watu sio uungwana, ungepeleka jukwaa la matangazo asingepost mtu kwenye thread yako ila sababu umeleta jukwaa hili watu watapost tu sababu ndio kazi ya hili jukwaa kuelimishana na kutengeneza awareness kwa watu kuhusu hivi vitu.
 
Unaufahamu uongo wewe?....kipi nimeongopa kwenye uzi wangu? nimesema kwa mtu anayeitaka hii mashine kabla hajatoa hela yake ningethibitisha niliyoyasema akisharidhika ndio angelipa nini shida sasa hapo?
 
hebu soma hapo juu ni jukwaa la nini hili? na kuwadanganya watu sio uungwana, ungepeleka jukwaa la matangazo asingepost mtu kwenye thread yako ila sababu umeleta jukwaa hili watu watapost tu sababu ndio kazi ya hili jukwaa kuelimishana na kutengeneza awareness kwa watu kuhusu hivi vitu.
Why unatokwa mapovu kwa kitu ambacho hakikuusu?....@chief mkwawa
 
Mkuu mbona umepaniki sana wakati Jamaa wameongea ixxue za kawaida sana na wala hawajapondea biashara yako?...au unadhani kwa maneno yao ndio utakuwa hufanyi biashara? au Imekuuma kwa kuwa wamesema kweli na wewe ulitaka maneno yako ndio yawe kama maandiko matakatifu hayahitaji challenges?...Kumbuka response nzuri ya hizi challanges kutoka kwa wadau zinaweza kukufungulia milango ya kuaminika kwa wanaohitaji na hawana ABC ya hivyo vitu.
 
mi naiweza hyo na naitaman kinoma....ukiwa hujaiuza mpaka katikati ya mwezi wa 3 nishtue...ni pm namba yako kabisa ntakutafta...niko very serious
 
Unaufahamu uongo wewe?....kipi nimeongopa kwenye uzi wangu? nimesema kwa mtu anayeitaka hii mashine kabla hajatoa hela yake ningethibitisha niliyoyasema akisharidhika ndio angelipa nini shida sasa hapo?@chief mkwawa

huu hapa uongo wako
1. kichwa cha habari kwa kusema pc maalum kwa game hali ya kuwa unajua sio gaming pc
2.kwenye thread yako ukasema itacheza games za kisasa wakati haiwezi kucheza games za kisasa.

hizi hapa games za 2015/2016 zinazoongelewa sana duniani run game moja tu halafu tuletee video ya fps hapa tukuamini
1. fallout 4
2. batman arkham city
3. ashes of singularity

unaweza ukaweka gta vice city au san andreas games ambazo hata simu inaweza kurun na kudanganya watu hio ni gaming pc, lakini kiuhalisia sio xeon 5410 ni cpu dhaifu sana almost cpu zote za kuanzia sandy bridge i3 zinaipita hio cpu na graphics za quadro (probably ddr3 kutokana na age ya hio pc) haziwez kurun game za kisasa labda kama unacheza 480p
 
Mi narudia tena kauli yangu.....acha kuwashwa mkuu na vitu ambavyo havikuusu....wacha nikwambie tu kwa habari njema ndo namtestia mtu analipa.....wanaoijua wameshanunua
 
huu hapa uongo wako
1. kichwa cha habari kwa kusema pc maalum kwa game hali ya kuwa unajua sio gaming pc
2.kwenye thread yako ukasema itacheza games za kisasa wakati haiwezi kucheza games za kisasa.

hizi hapa games za 2015/2016 zinazoongelewa sana duniani run game moja tu halafu tuletee video ya fps hapa tukuamini
1. fallout 4
2. batman arkham city
3. ashes of singularity

unaweza ukaweka gta vice city au san andreas games ambazo hata simu inaweza kurun na kudanganya watu hio ni gaming pc, lakini kiuhalisia sio xeon 5410 ni cpu dhaifu sana almost cpu zote za kuanzia sandy bridge i3 zinaipita hio cpu na graphics za quadro (probably ddr3 kutokana na age ya hio pc) haziwez kurun game za kisasa labda kama unacheza 480p
Mkuu ungekuwa ke ungekuwa na watoto wengi sana....
 
mshukuru mungu na yeye ndie atakaenilipa na atakulipa na wewe
Acha kumshirikisha mungu kwa vitu ambavyo hausiki?...Akulipe uliitwa....!?au ulikuja mwenyewe kwa kuwashwa kwako?.....labda nikuulize pamoja na maelezo yako marefu kwenye biashara yangu umepata nini?@chief mkwawa
 
nimekipata ninachokipata siku zote jamiiforums, kukaa na watu kuwasaidia na kutengeneza awareness ya kuepukana na watu kama wewe, nchi yetu sasa hivi imejaa watu wengi ambao hawana tofauti na matapeli wanaouza vitu kuanzia vidogo kama memory card, hadi vikubwa kama wewe pc.

utapata wawili watatu utakaowadanganya hio pc ni ya gaming watanunua na mimi vile vile nitapata wawili watatu ambao wataniamini na kuepukana na watu kama nyie, lakini kumbuka juhudi zetu za kutengeneza awareness zinavyofanikiwa na watanzania kuamka ndio kushindwa kwenu nyie na ipo siku Tanzania itakuwa Free from people like you.
 
Siliza wewe mchambuzi feki....Mimi siuzi vitu kwa kuotea....kwa watu waliosoma uzi wangu watakuwa wamenielewa hakuna sehemu niliongopa ila wewe kwa kutafuta tension na watu unaongea vitu viingi kana kwamba umeshirikishwa....au nimemlazimisha mtu au watu kununua ninachokiuza....wewe umesema haichezi game za kisasa mimi nimesema zinacheza....ubishi mimi na wewe ungeisha kwa kuthibitishiana haya niliosema lakini si kwa kuongea vitu viingi kana kwamba mimi sijui ninachokiuza....hebu jaribu kuwa mstaarabu.....
 
huu hapa uongo wako
1. kichwa cha habari kwa kusema pc maalum kwa game hali ya kuwa unajua sio gaming pc
2.kwenye thread yako ukasema itacheza games za kisasa wakati haiwezi kucheza games za kisasa.

hizi hapa games za 2015/2016 zinazoongelewa sana duniani run game moja tu halafu tuletee video ya fps hapa tukuamini
1. fallout 4
2. batman arkham city
3. ashes of singularity

unaweza ukaweka gta vice city au san andreas games ambazo hata simu inaweza kurun na kudanganya watu hio ni gaming pc, lakini kiuhalisia sio xeon 5410 ni cpu dhaifu sana almost cpu zote za kuanzia sandy bridge i3 zinaipita hio cpu na graphics za quadro (probably ddr3 kutokana na age ya hio pc) haziwez kurun game za kisasa labda kama unacheza 480p
Natambua na kuheshimu uwepo wako hum ndan mkuu na point of view zako
 
Back
Top Bottom