PC inakula MB sana

PC inakula MB sana

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,710
Reaction score
1,965
Wakuu PC yangu ni aina ya HP Pro elite Book

Inatumia window 10

Sasa changamoto inakuja kwenye utumiaji wa MB yaani 1Inaweza isha hata ndani ya dakika 5 tu

Sasa naomba Muongozo nifanyaje ili niondoe hii changamoto, maana sio kwa hali hii.
 
Kama haujui sehemu ya kuingia ili kuturn off updates nenda pale kwenye ribbon ya chini palipoandikwa search click hapo na search 'automatic updates' naamini unajua kiingereza kitakachofuata ni kujua kiingereza tu unamaliza kila kitu
 
Ulimwengu wa sasa suala la mb kuliwa sio kilio chenye mashiko tena. Wekeza kwenye Data. Updates za win10 zinatoka almost kila siku.
 
Iache tu iupdate ikishakula kama 3gb itaacha itakuwa ina update mara moja moja, mimi sizuii pc kuupdate na wala sijui uwa inaupdate saa ngap nakuja kujua ninapoizima ikaanza install updates maana naweza maliza hata weekmbili sijazima pc.
 
Naona Kesi mmeipa Os (Operating System) bila ya KUJADILI matumizi yake huyo mhusika akiwa huko Mitandaoni..

(Web Surfing behavior)
. maana updates sio kila Siku,saa..

Na mnavyomwambia Afanye Turn off je .. madhara ya kuwa na Outdated OS mmemwambia? Anayajua?

Je madhara ya Outdated Antivirus.. mmemwambia?.
 
Iache tu iupdate ikishakula kama 3gb itaacha itakuwa ina update mara moja moja, mimi sizuii pc kuupdate na wala sijui uwa inaupdate saa ngap nakuja kujua ninapoizima ikaanza install updates maana naweza maliza hata weekmbili sijazima pc.
Mmh wiki2 bila kuzima....hiyo pc kuna siku utakuta imetoroka hapo kwako..yaani mpaka inajuta kumilikiwa na wewe
 
Mmh wiki2 bila kuzima....hiyo pc kuna siku utakuta imetoroka hapo kwako..yaani mpaka inajuta kumilikiwa na wewe
Hapana mkuu ila siku hizi inapata mapumziko ya kuherbanate walau masaa 5 maka 8 usku maana nafanya kuifunga bila kuizima ili nikiifungua tu ijiconnect na wifi niendelee nilipoishia
 
Back
Top Bottom