Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
steam si store ya games ya kulipia?Jaribu kuinstall steamy alafu play from there
steam si store ya games ya kulipia?Jaribu kuinstall steamy alafu play from there
Labda alimaanisha origin, baadhi ya cracked games zinataka uwe ume-install origin.steam si store ya games ya kulipia?
Kuna games nyingi nzuri for free alafu pia unaeza patch game ambazo tayari unazosteam si store ya games ya kulipia?
kama ipi? na kama zipo za bure zitakuwa na in app purchase ambazo ni mbaya zaidi kuliko hizo za kulipia.Kuna games nyingi nzuri for free alafu pia unaeza patch game ambazo tayari unazo
PES 2016 totaly free mpaka my club yani unacheza na watu online..kama ipi? na kama zipo za bure zitakuwa na in app purchase ambazo ni mbaya zaidi kuliko hizo za kulipia.
linauzwa dola 20PES 2016 totaly free mpaka my club yani unacheza na watu online..
au unamaanisha myclub? lile online game? ambalo kucheza unasubiria kila saa?
Trust me mimi ninayo for free..au unamaanisha myclub? lile online game? ambalo kucheza unasubiria kila saa?
inawezekana mkuu kulikuwa na offer,Trust me mimi ninayo for free..
Labda wakati nadownload ilikua free
Yahinawezekana mkuu kulikuwa na offer,
ni kweli mimi nina GTA 5 halicheziGaming ts all about hardware... huwezi trix p ya specs ndogobukapiga gta v au nfs rivals... hizi ni power and graphics hungry games wakuu... ila magame ya mpira haya utacheza hata kwenye normal processors
Mi nahitaji machine yenye uwezo wa kusukuma hizi game niandae sh ngapi?Gaming ts all about hardware... huwezi trix p ya specs ndogobukapiga gta v au nfs rivals... hizi ni power and graphics hungry games wakuu... ila magame ya mpira haya utacheza hata kwenye normal processors
Ebwana ni add na me 0715 586 612Kuna ishu kubwa saivi inatuface gamers ambayo ni hadwares
To be honest hapo mimi mwenyewe kilaza. Tena kilaza haswa.
Ila nina PC ya kawaida tu HP i3 na inapiga mizigo kama lembe.
Nina magem kadhaa na yanasonga.
Nina magem kama
-dead pool
-PES
-Truck Mania
-Blur
- Driver san Fransisco
-Euro Truck Simulator
-Devil May cry
-NFSMW
Naomba kama kuna ruksa yenu nifungue whats app grupu letu tue tunaswap games au hata kuuziana ikibidi.
Personal
DMC na Blur nilizinunua baada ya kila nalodownload lilifeli.