PC DELL kwenye music ni mono na stereo sound

PC DELL kwenye music ni mono na stereo sound

Mazes

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
64
Reaction score
43
Unapopiga kwenye speakers kubwa kama kanisani au ukumbini bass ni ya mbali sana.

Naomba msaada wa settings au drivers
 
Update Dell software yake kwanza,pia kama una window 10 update to windows 11.
 
Computer kampuni ya dell inter(R) core(TM) i7-7500U CPU @ 2.7GHz window 10. Kwenye kupiga muziki inatoa Sauti ya stereo tu na hakuna bass. Hasa speakers kubwa za kanisani au ukumbini.
Mkuu niuzie kama chuma chakavu tu inisaidie kwenye masomo yangu
 
Unapopiga kwenye speakers kubwa kama kanisani au ukumbini bass ni ya mbali sana. Naomba msaada wa settings au drivers
Mkuu Mazes, kwa sasa ndani ya jukwaa hili watu wengi wanaweza kufikiria unamzungumzia Police Constable Dell, shahidi mwingine wa mchongo katika kesi ya ugaidi inayoendelea kusikilizwa ya akina Mbowe.
 
Modelators futa hii post yangu, haijaenda nilivyohitaji
 
Back
Top Bottom