Mkuu siko sure kama PayPal Phillipines inasupport Xoom. Maana naona akaunti nyingi zinazosupport Xoom ni za US, Canada, yaani bara la america na Ulaya. Kama una akaunti ya hivyo automatically una akaunti ya Xoom maana PayPal na Xoom ni kampuni moja. So waingia Xoom wasema watuma pesa TZ wachagua mobile wallet source ya fund wachagua Paypal then wachagua mtandao namba ya simu jina lilisajiliwa kwenye hiyo namba sometimes watakudai kitambulisho lakini mara nyingi ahwadai then watuma inakuja kwenye simuhebu fafanua kidogo mkuu hii ya direct kwenye mpesa....manaake nina visent vyangu paypal ya philipine nataka nivitoee
Kwenye kujaza namba ya simu utahitaji uwe na namba ya Lesotho... na kama kuna uwezekano wa kupata izo namba tusaidiane
Mkuu ikikupendeza anzisha thread juu ya hili, utueleze kwa kina!
Sorry kwa usumbufu kwenye kufungua account ya wise... kwenye sehemu ya kuweka country unaweka Tz au Us... Na kama utaweza kuelezea procedure zake zote ntashukuru sanaWise.com ni site inayokuwezesha kufungua account za bank za nchi mbalimbali.ukifungua ya US utaiadd kuwa mojawapo ya account yako ys bank coz paypal wanakubali akaunti za bank za ulaya na us pekee
Ingia wise.com fungua account verify kwa kulipia $24 kwa airtel mastercard
Sorry kwa usumbufu kwenye kufungua account ya wise... kwenye sehemu ya kuweka country unaweka Tz au Us... Na kama utaweza kuelezea procedure zake zote ntashukuru sana
Jarb kutengeneza acc ya kenya ukiwa na safaricom line utajihamishia iyo hela kweny paypal yako ya kenya then utaitoa mpesa safaricom na kujihamishia Mpesa vodacom... hawachaj pesa yyt ni free kabisa.hebu fafanua kidogo mkuu hii ya direct kwenye mpesa....manaake nina visent vyangu paypal ya philipine nataka nivitoee
Umeongea fact jobs[emoji106]Kabla ya kujiunga na huduma yoyote hakikisha unasoma terms and conditions na namna ya kutumia.
Hao mawakala wapo wapiPaypal ya kenya ipo safi.. Unaweza ku withdrawal kupitia Mpesa safaricom then unajihamishia Mpesa vodacom Tz bure kabisa
Chamuhimu hapa n kua na lain ya safarico (Tz zinauzwa hizi lain.. ni suala la connection tu)
Wanaouza hizi lain hua wanauza na picha za ID zake so Paypal wakitaka verification ID unawapa picha ya iyo ID Acc inakua verified.
Mimi nafanya online business na malipo yote nalipw kwa paypal kenya then ndo najirushia Mpesa vodacom Tz
Pia kuna mawakala wanaweza kukutolea hela yako kupitia paypal zao ila wanachaj 10% ya ela unayotoa
kulipia mbona simple ata paypal ya Tz inaruusu kufanya malipo mtandaoniJaman mimi nilikuwa nahitaji kulipia game langu wakanipa option ya kulipia kupitia paypal asa nikisoma hiz process zote naona stoboi
Asa naomba kama kuna mtu anaweza kunilipia kupitia account yake af mm nmepe cash mkononi
Kumbe kutma ni sio kipengele kupokea ndo tanzania inasumbuakulipia mbona simple ata paypal ya Tz inaruusu kufanya malipo mtandaoni
just tengenez paypal ya Tz kawaida then tengeneza VIZA (credit card ya voda) unganisha iyo card na paypal yako weka pesa kweny card nend kweny game wape imail ya paypal moja kw moja watakat kweny card
Duh mjini shule haya, mambo bila watu huwezi kuyajuaPaypal ya kenya ipo safi.. Unaweza ku withdrawal kupitia Mpesa safaricom then unajihamishia Mpesa vodacom Tz bure kabisa
Chamuhimu hapa n kua na lain ya safarico (Tz zinauzwa hizi lain.. ni suala la connection tu)
Wanaouza hizi lain hua wanauza na picha za ID zake so Paypal wakitaka verification ID unawapa picha ya iyo ID Acc inakua verified.
Mimi nafanya online business na malipo yote nalipw kwa paypal kenya then ndo najirushia Mpesa vodacom Tz
Pia kuna mawakala wanaweza kukutolea hela yako kupitia paypal zao ila wanachaj 10% ya ela unayotoa
kabisa mkuu Ukiwa freelancer ndo unaeza pata connection ya aya mamboDuh mjini shule haya, mambo bila watu huwezi kuyajua
ndiooo Paypal ya Tz inaruusu kulipia tu ila kupokea uweze kuitoa ndo hutawezaKumbe kutma ni sio kipengele kupokea ndo tanzania inasumbua
Namanga kama unaitaj lain nikuconectHao mawakala wapo wapi
Thanks mkuu .Mkuu siko sure kama PayPal Phillipines inasupport Xoom. Maana naona akaunti nyingi zinazosupport Xoom ni za US, Canada, yaani bara la america na Ulaya. Kama una akaunti ya hivyo automatically una akaunti ya Xoom maana PayPal na Xoom ni kampuni moja. So waingia Xoom wasema watuma pesa TZ wachagua mobile wallet source ya fund wachagua Paypal then wachagua mtandao namba ya simu jina lilisajiliwa kwenye hiyo namba sometimes watakudai kitambulisho lakini mara nyingi ahwadai then watuma inakuja kwenye simu