Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Kwa msioifahamu Paypal n huduma ya kutuma na kupokea hela kutoka nchi moja hadi nyingine!
HQ yake iko US!
Afrika hii huduma iko nchi 12 ambazo ni
1. Algeria,
2. Botswana,
3. Egypt,
4. Kenya,
5. Lesotho,
6. Malawi,
7. Mauritius,
8. Morocco,
9. Mozambique,
10. Senegal,
11. Seychelles
12. South Africa
Cha Ajabu Tanzania haipo ipo nchi ya malawa ,mozambique…. Tz kuna shida gan?
Ni nchi inazuia flow of capital au kuna sababu zingine
#Je kuna njia nyingine ya website ya kutuma pesa au kupokea tofauti na paypal