7spirits
JF-Expert Member
- Dec 1, 2015
- 612
- 514
Nafikiri Ni muhimu sana hasa kwa biashara za mtandaoni. Na ki uhalisia Kuna fursa nyingi mtandaoni zenye faida nzuri kuliko hata charges hizi. Na kwa kuwa wengi tunazihitaji kwa ajili ya ajira/malipo yatokanayo na kazi za mitandao. Ukiangalia faida Ni nyingi kuliko hasara, Chief.Kwa hizi gharama bora usiwe nayo tu, its way much cost to have it!