PAYPAL Status in Tanzania

PAYPAL Status in Tanzania

Mbona paypal inafanya kazi. Unschotakiwa kuwa nacho ni usd account and must be internet enabled.

‍♂️naenda zimbobo.
 
sasa unadhani hapa patasaidia mkuu?

ila nia na madhumuni yangu ilikua tu haijalishi nnchi yako ina udhaifu gani ,hakuna kusikokua na udhaifu tujitahidi kutoikashifu.
tufikishe maoni na ujumbe tu.
hapa ndio kwetu hata tukipaita Tanzagiza... tujitahidi kauli nzuri hata jirani zetu wasizidi kututoa maana
uwe na usiku mwema mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app


Ariana, labda nikukumbushe... MEDIA ni chombo chenye nguvu sana katika kubadilisha mambo kwenye jamii. MEDIA ina category tatu, namely:
-Electronic Media (Tv, Radio)
-Print Media (News Papers, Journals, Magazine, etc)
-Social Media (online forums & platforms like JF, FB, Insta, Twitter, etc)

Kujibu swali lako: YES, strongly nadhani hapa patasaidia. Naamini unafahamu kwamba badhi ya viongozi na decision makers hupita humu na ni members wa mitandao hii. Hii halina ubishi, na umenishangaza kuuliza swali kama hilo.

Kwenye bandiko langu zijakashfu popote pale. It's all about facts. Sarcasm statements zisikutoe kwenye msitari. BTW... Rais mwenyewe alisema publicly kuwa pale BoT kuna PhD 17 and still anaona madudu yanafanyika kwenye scope yao ya utendaji. So kwa kauli hiyo, Rais alikashfu BoT staff? au alisema fact?

Critique makes you stronger.

Uwe na usiku mwema pia madam.

-Kaveli-
 
Nimekosa online jobs nyingi pamoja na kuuza vitabu online maana platform nyingi zinataka paypal LAKINI paypal Tz haikubali kupokea hela, inauma sana, basi nawaomba BOT mtusaidie kwa hili.


Pole Mkuu kwa kukosa hizo fursa. Bado BoT yetu haijafuta tongo tongo kuhusu PayPal.

-Kaveli-
 
Wiki ya pili sasa nasumbuliwa na pesa zangu.hawa bot cjui wanafanya kazi gani.Hawajui hii ni karne ya 21
 
sasa unadhani hapa patasaidia mkuu?

ila nia na madhumuni yangu ilikua tu haijalishi nnchi yako ina udhaifu gani ,hakuna kusikokua na udhaifu tujitahidi kutoikashifu.
tufikishe maoni na ujumbe tu.
hapa ndio kwetu hata tukipaita Tanzagiza... tujitahidi kauli nzuri hata jirani zetu wasizidi kututoa maana
uwe na usiku mwema mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
ule mkopo wako wa tsh elfu hamsini uliouomba huku jf ulishaupata?
 
82fa15c7ad42e916eaf6bb744eaa4279.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app


Payoneer kadi iyo hapo nimetumiwa last week. Ninaweza kununua chochote kwenye Internet na pia kupokea pesa kutoka kwa mtu yeyote duniani.


Mkuu, pia kuwa makini with Payoneer. Hebu pitia hizi link :

Payoneer is rated "Bad" with 2.1 / 10 on Trustpilot
Payoneer Reviews - 1.7 Stars

Another thing... kipindi cha nyuma PAYPAL walikuwa wanakubali ku-link with PAYONEER. Ila baadaye wakasitisha link with Payoneer. Yaani kwa sasa Paypal account huwezi kui-link na Payoneer account. Unadhani WHY?

-Kaveli-
 
hii inakera kinoma kuna vihela nina vikosa kwasababu hii,ujue paypal inaaminiwa zaidi sasa sijui kwanini tz hawairuhusu.
kenya unaweza pokea mpunga toka paypal to mpesa(na mpesa yao ya kibabe si mchezo)
nilishawahi lipia kwa paypal na ikaenda ila kutumiwa bado, ila wakenya wana ile inaitwa pesapal vile vile,
 
Na kitu wanakosea sana ni kuwa ni rahisi mtu kutuma hela direct from bank account kwenda nje kuliko kuwithdraw cash from foreign country. Yaan ndo maana Tsh haipandi bei kwani wachache ndo wananunua hii local currency ila wangeruhusu watu tupige dola huko tuna draw kwa Tsh means demand ya Tsh currency ingeongezeka. Sasa wanachofanya ni kushusha shilling kwani wengi tunanunua dola na tukitaka kupata Tsh inakuwa ngumu.Tz ecomy won't grow unless we update our e-commerce regulations.

Sent using Jamii Forums mobile app


You are very right. Lakini sasa bado wafanya maamuzi hawajaona umuhimu wa ku-update our e-commerce regulations. Safari bado ni ndefu.

-Kaveli-
 
kwa mwendo huu,huenda Tanzania haitaifikia kenya kiuchumi..nimekuwa kenya na kila mwaka kunaandaliwa mkutano mkubwa wa kuhamasisha vijana na kuwapa ushauri hasa ambao wapo kwenye vyuo na macollege..jambo moja ambalo wanalihamasisha huko ni online jobs ambazo kwa sasa wengi nahisi wanazifanya..ila ukirejelea requirements za kufanya kazi online utapata kwamba paypal ni jambo la msingi na ni lazima uwe na account ili uweze kupokea mpunga wako.nimepatana na kijana mmoja wa kitanzania huko na tayari ana website yake saivi ya marketing (eliteaffiliatehacks.com)kijana huyu per week anaingiza 350-400 dollars ndani ya wiki moja tu.kwa hesabu ya haraka haraka hizo ni KSH 35,000-40,000....sasa fanya mara 22 uniambie huyu mtanzania anakula kiasi gani cha pesa in a week..yani BoT waache masihara bhana..vijana wengi wanafungiwa nje kwa sababu ya mizaha ya hawa jamaa..wabadilishe basi.
 
CRDB sasa wameanza kupokea kutoka Paypal
Heshima kwenu wanaJF...

Wakuu, kuhusu kupokea pesa kwa PayPal nchini Tanzania, status ni ipi?

Watanzania wengi walijaribu kuwasiliana na PayPal management kuhusu kuruhusu upokeaji wa pesa Tanzania. Majibu ya PayPal ni kwamba wao hawana tatizo, ila shida kubwa ni pale B.o.T penye PhD holders 17 !!

Inasemekana kuwa majirani zetu Kenya wanaingiza kipato via Paypal bila zengwe yoyote.

Kwa Tanzania a.k.a Tanzagiza... What's the latest ground so far?

-Kaveli-
 
kwani mkifikisha ujumbe bila malalamiko kwamba mbona fulani anacho inakuagaje?
mkileta hoja isiyo na mifano ya ulazima tunapungua nini?

ifike mahala liletwe pendekezo tu lisielemee upande mmoja...
mara Tanzagiza mara nini... Grow up Mkuu!!!
Hoja hata ikiwa ina mantiki lakini ikishawekwa malalamiko na malawama yasiyo na msingi inapoteza ladha kabisa.
Hivi Wa Tz tupoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuta ww ndo muhusika(mkwamishaji mwenyewe)
 
Back
Top Bottom