PAYPAL Status in Tanzania

PAYPAL Status in Tanzania

Kaveli

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
5,458
Reaction score
8,962
Heshima kwenu wanaJF...

Wakuu, kuhusu kupokea pesa kwa PayPal nchini Tanzania, status ni ipi?

Watanzania wengi walijaribu kuwasiliana na PayPal management kuhusu kuruhusu upokeaji wa pesa Tanzania. Majibu ya PayPal ni kwamba wao hawana tatizo, ila shida kubwa ni pale B.o.T penye PhD holders 17 !!

Inasemekana kuwa majirani zetu Kenya wanaingiza kipato via Paypal bila zengwe yoyote.

Kwa Tanzania a.k.a Tanzagiza... What's the latest ground so far?

-Kaveli-
 
Kwa Tanzania tunaambiwa vijana fikirini [HASHTAG]#NjeYaBox[/HASHTAG] mjiajiri ?
 
hii inakera kinoma kuna vihela nina vikosa kwasababu hii,ujue paypal inaaminiwa zaidi sasa sijui kwanini tz hawairuhusu.
kenya unaweza pokea mpunga toka paypal to mpesa(na mpesa yao ya kibabe si mchezo)
 
Imagine PhD holders 17 pale BoT, lakini bado hawaoni umuhimu wa Paypal kwenye nchi hii ambayo unemployment rate is alarming !

Hovyo sana kuwa na viongozi washamba washamba wasio kuwa na global exposure kwenye masuala mbali mbali yenye tija kwenye uchumi wa nchi yetu.

Viongozi wanaThink kilocal local tu.

-Kaveli-
 
Hizo PhD 17 watakwambia walisoma enzi hizo computer yamezani ilikua na RAM ya 100MB na processing speed ya 3MHz. Na walikua wanaoneshwa tu kwa mbali. Wataujulia wapi umuhimu wa "online jobs"
 
Binafsi nashangaa mpaka wabunge vijana kabisa kama kina Zitto HKigwangalla anaekomalia watu wajiajiri wakati hata tafsiri halisi ya kujiajiri inaonekana haifahamu. Kina John Mnyika , Hussein Bashe hawalizungumzii kabisa suala hili. Tunaye waziri wa fedha ambaye ameshafanya kazi mpaka WB lakini yupo kimya. Nchi inaendeshwa utafikiri tuko karne ya 9!
 
Miye mbona nikipokea transaction ya paypal niliyoilink na CRDB na nikiwatumia CRDB ile transaction pesa inaingia?

Au sijaelewa malipo mnayoongelea?
 
mtandaoni kuna kazi kibao kila nikicheki malipo paypal inahitajika daah alafu hawaoni umuhimu.
ukiwacheki paypal wanakwambia ongeeni na benki yenu

Mie mwenyewe kuna support fulani hivi nimeikosa coz siwezi kupokea payment kwa PayPal. Hii nchi inakera sana!

Afu ukute ni mtu mmoja tu na likitambi lake hapo BoT ndiye anadelay ku-authorize hii kitu nchini.

-Kaveli-
 
Hizo PhD 17 watakwambia walisoma enzi hizo computer yamezani ilikua na RAM ya 100MB na processing speed ya 3MHz. Na walikua wanaoneshwa tu kwa mbali. Wataujulia wapi umuhimu wa "online jobs"
uongozi uliojaa phd na profs lakini .....Mungu tu ndo anajua!
 
hii inakera kinoma kuna vihela nina vikosa kwasababu hii,ujue paypal inaaminiwa zaidi sasa sijui kwanini tz hawairuhusu.
kenya unaweza pokea mpunga toka paypal to mpesa(na mpesa yao ya kibabe si mchezo)
Unashangaa nini?, Jiunge na payoneer leo. Ukshajiunga unatumiwa kadi ya VISA ili kutoa fedha zako kwenye ATM yoyote ile nchini.

www.payoneer.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
82fa15c7ad42e916eaf6bb744eaa4279.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

Payoneer kadi iyo hapo nimetumiwa last week. Ninaweza kununua chochote kwenye Internet na pia kupokea pesa kutoka kwa mtu yeyote duniani.
 
yaan inauma sana

Kwakweli inakera na kushangaza sana. PayPal ingeweza kuiingizia Tanzania pesa nyingi sana za kigeni. Watu wanahold PhD lakini wana local mentality.

Duniani karibia nchi zote now PayPal ni trusted entity for e-commerce and money transactions. Why NOT in Tanzania? ama Tanzania ni kijiji kilichopo nje ya Dunia? Hili linchi kila kitu tupo nyuma. Kila secta ni majanga tu!

Pelekea idea kwa wapenda KIKI, huenda ikafanyiwa kazi. Siku hizi mambo hayaendi bila KIKI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miye mbona nikipokea transaction ya paypal niliyoilink na CRDB na nikiwatumia CRDB ile transaction pesa inaingia?

Au sijaelewa malipo mnayoongelea?

Mkuu, unamaanisha kwamba unapokea Payment (not 'refund' from PayPal management) kutoka kwa mtu mwingine mwenye paypal account na inaingia kwenye local bank yako CRDB ?

N.B: Inshu sio just a 'transaction'. Inshu ni je hiyo Transaction ni 'refund' ama ni 'payment' ?

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom