paypal na csc,card number,exp date ya card

paypal na csc,card number,exp date ya card

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
habari wana jf hivi kuna usalama wa accnt yangu ya benk endapo nikitoa hizi info zangu kwa paypal i want to buy vitu kupitia ebay ,,,kwsababu nilisikiaga kuna uwezekano wa kuhack accnt ya mtu ukitoa hzo details ,,,asanten wakuu
 
PayPal ipo safe sana nimekuwa nikitumia kwa miaka tele na sijawahi kupata tatizo hata moja. Ushauri mdogo hakikisha unaprocess payment zako within eBay.
 
Back
Top Bottom