Payments system zinasumbua

Payments system zinasumbua

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,201
Reaction score
8,425
Wakuu System za malipo zinasumbua kuanzia transaction za lipa namba mpaka manununuzi ya Luku system zote zipo down

Wakuu shida ni nini na TCRA wapo kimya
 
Wakuu System za malipo zinasumbua kuanzia transaction za lipa namba mpaka manununuzi ya Luku system zote zipo down

Wakuu shida ni nini na TCRA wapo kimya
Ngoja tcra waje mmoja yupo humu ila ana kiburi huwa hajibu
 
Mitandao yote ? Au kuna mtandao husika, tatizo limeanza saa ngapi ? Maana mimi nimelipa kwa MPESA jioni hii
 
Mimi nimenunua Luku tangu saa moja hadi sasa sijapata token
 
Halopesa wiki ya pili wanasumbua
 
Nchi yetu pasipo kuwekeza kwenye Teknolojia hasa Telecom ipo siku tutapigwa kizembe sana tusipate hata network ya kujulishana kinachoendelea.

Tuendelee kuchekelea Jeshi kufungua Vituo vya mafuta, Viwanda vya kokoto na kujenga maduka ya frem. Viongozi wetu wawekeze kwenye Mega Project hasa kwenye Ujenzi wa Satelite za mawasiliano kutuokoa wakati wa shida
 
Yas na halopesa ni majanga, hao wengine sijui
Nimejaribu kwa LUKU inagoma kwa mitandao ya simu kote nafikiri ishu ni kati ya mitandao na GePG, shida Tanzania mitandao ya simu na benki wanapitia njia moja ambayo ni GePG kama unahitaji LUKU usilale gizani tumia Selcom PESA yeye ameconnect na TANESCO moja kwa moja maana alikuwepo kabla ya GePG
 
Wakuu System za malipo zinasumbua kuanzia transaction za lipa namba mpaka manununuzi ya Luku system zote zipo down

Wakuu shida ni nini na TCRA wapo kimya
TANESCO wametoa tangazo kwa wateja kuwa kuna tatizo
 
Siku tutakuja kupigwa na kitu kizito kichwani na kuanzia kutafuta mchawi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom