wapendwa wana JF nahitaji mtu wa kupanga kwenye nyumba ninayoishi. nina chumba kimoja kiko wazi full furnished.
yeye ni kuingia kulala. nahitaji kijana au dada ambaye ndio anaanza maisha hana chochote, au mtu aliyepata transfer na yuko katika harakati za kutafuta chumba. tutashare chakula pamoja, lakini anakaribishwa kupika atakachojisikia. charge yangu ni maelewano. kama kuna mtu yuko interested ani PM. asante wan JF
Kumbuka kufanya utafiti wa historia ya atokako. Usije pangisha jambazi ukawa umempa funguo. Ukitoka kwenda kazini urudi na kukuta nyumba nyeupe na uliowaacha naye wamefungwa kamba...
Leo nimesikia taarifa redioni, kuwa majambazi wamekuja na trick ya kuwarubuni wadada wa kazi kimapenzi na kutoa ahadi kibao ili wapate access na nyumba za matajiri zao... Very shocking, be wary of who you are welcoming.
Otherwise, wastaarabu wako wengi tu, utafanikiwa kumpata ukiwa makini.
All the best.
Mbona tunakuPM lakin hujibu?
nieleze unataka nini sio unanipa namba yako ya simu nikupigie halafu tuanze kusumbuana. nyumba iko Dar wilaya ya kinondoni. half board basis, unalipa kwa siku. bei tutaelewana. nahitaji wanaoanza maisha mwenye vaqjira au alopewa transfer na anatafuta nyumba. sihitaji mtu kwa kuja kukaa mwaka mzima an asokua na kazi ya kuajiriwa.