Pay before bill

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
"pay before bill" ni tangazo nililolikuta chumbani kwa mdada mmoja wakati naenda kumtindua ghetoni kwake,

Hakika sikuongea nilichofanya ni kuzama mfukoni na kutoa mwekundu mmoja na kifaru kwa sababu ya kulipia huduma,

Mwanzo nilimuona mwema kila jumapili kumkuta na biblia mkononi akienda kanisani, nikajigeuza mtoto wa mchungaji ili kumpata kumbe ni muuzaji anaetembea na label chumbani kwake,


Niwapongeze wadada wa mjini kwa kujiongeza,





CC Zero IQ
 
Bia haina Ukimwi, inanikutanisha na watu huwezi kulinganisha na jambo lililozuiwa kwenye amri za Mungu
Pombe imeruhusiwa wapi kwenye Amri za Mungu mkuu?

CC Zero IQ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…