Paving blocks

edwin89

Member
Joined
Apr 12, 2016
Messages
30
Points
95

edwin89

Member
Joined Apr 12, 2016
30 95
Tunauza paving blocks za aina tofauti tofauti kwa square meter moja elf 30 usafiri juu yetu ila kama eneo lako lipo chini ya square meter 50 usafiri unajigharamikia na wall panels za ukutani square meter moja elf 40 tuu
Karibu sana na mnisamehe kwa picha nyingi! 0714919200
IMG_20191108_101119_376.jpeg
IMG_20191108_101119_344.jpeg
IMG_20191108_101119_348.jpeg
IMG_20191108_101119_375.jpeg
IMG_20191108_100915_073.jpeg
IMG_20191107_154505.jpeg
IMG_20191108_101119_497.jpeg
IMG_20191108_092457.jpeg
IMG_20191107_154413.jpeg
IMG_20191107_154314.jpeg
IMG_20191107_153703.jpeg
IMG_20191108_100914_920.jpeg
IMG_20191107_154605.jpeg
IMG_20191108_092016.jpeg
IMG_20191108_101119_509.jpeg
IMG-20191027-WA0031.jpeg
IMG-20191027-WA0021.jpeg
IMG-20191027-WA0027.jpeg
 

Attachments:

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
3,601
Points
2,000

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
3,601 2,000
Eti hizi kama mtu anafuga kuku na bata wa familia anaweza kuendelea kufuga hata baada ya kuweka hizo pavements?

Au itabidi ndiyo aache kufuga?
 

jajcom

Senior Member
Joined
Jan 4, 2013
Messages
116
Points
250

jajcom

Senior Member
Joined Jan 4, 2013
116 250
Karibu ndugu. Swali zuri hiyo tunaondoa majani yasiote kwenye maungio ya paving
Nafikiri sio sahihi kabisa kuweka nylon chini ya paving blocks.

Moja kati ya faida kubwa ya paving blocks ni kusaidia kupunguza changamoto za fall water (maji ya mvua), uwekaji wa paving blocks unasaidia kuruhusu kufyonza maji ya mvua (seepage/penetration of fall water) ili kuondokana na changamoto ya maji mengi (urban waste water) hasa katika miji mikubwa.

Zamani watu walikuwa wanapenda kuweka floor za zege ambazo zilikua zinatiririsha maji na kutoyaruhusu kwenda Ardhini, mbadala wa paving blocks ni kiruhusu maji kufyonzwa ardhini na kuacha floor kavu bila maji.

Sasa unapoweka nylon chini ya paving blocks, maana yake unazuia maji yasipenye kwenda ardhini, hivyo kusababisha maji kujaa juu ya paving wakati wa mvua na kusababisha tatizo la maji taka hasa katika miji mikubwa wakati mwingine kusababisha mafuriko.

Je nini kifanyike kuzuia majani yasiote?

Kwanza kabisa kama unaona majani yanaota maana yake chini ulishindilia (compact) mchanga wenye uchafu na mizizi (organic matter) kwahiyo mchanga unapopata maji unasababisha hiyo mizizi kuchanua

Lakini pia kama ujapanga paving blocks zako vizuri, maana yake unaacha nafasi kati ya paving block moja na nyingine, hivyo kuruhusu mzizi kuchanua katikati ya paving blocks

Nini kifanyike.

1. Hakikisha unaweka layer ya kutosha ya mchanga safi na kushindilia kabla ya kulaza paving blocks, hakikisha unaondoa uchafu wote kwenye mchanga kabla ya kuanza kuushindilia.
Lakini pia hakikisha unatumia mchanga unaoshauriwa ambao hau-support kirahisi kuota kwa nyasi.


2. Unaweza pia kuweka dawa (hii ni option) kwa ajili ya kuzuia ukuaji wa mimea (lakini kama utafanya kwa ufahasa pendekezo hapo juu basi hii sio muhimu sana)

3. Unapolaza paving blocks, hakikisha unazipanga vizuri ili kupunguza nafasi kati ya paving block moja na nyingine.

Naomba kuwasilisha.
 

Forum statistics

Threads 1,357,595
Members 519,057
Posts 33,151,103
Top