Paul Makonda: The untouchable one, the chosen one

Utakuwa na matatizo ya akili mtoa mada!nenda milembe mapema
Wenye matatizo ya akili ni wale wanaompinga Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya kwa taifa hili.

Wenye matatizo ya akili ni wale wanaompinga Paul Makonda kwa kazi nzuri anayoifanya ya kupambana na wauza madawa ya kulevya.

Inawezekana na wewe ni mmoja wao.
 
Yani Mwizi wa vyeti..mpigana vita ya madawa ya kulevya lakini anatumia magari ya watu anaowatuhumu wanauza dawa za kulevya seriously
 
Yaan sasa hivi usipowasha data hata dakika mbili Unaweza kukuta hata nchi imebadilishwa jina!! Tujitahidi kuwa online jaman!! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Utawala huu ni mgumu kwa sababu tunatawaliwa na kichaa yani chizi kabisa ..kazi ni kutumbua na kuteua hadi sasa hakuna hakuna chochote alichofanya chenye kinamuingizia mchicha mezani mtanzania...
 
Mimi nadhani wengi hawajimuelewa magufuli,alipowaambia awamu yake ni ya kuwatumikia watu na si maneno maneno,tena akarudia kwa kisukuma kwa msisitizo •yaani onene ndhoho•

Hawajumuelewa na inaelekea wengi walidhani huyu JPM ni business as usual [emoji95]

Huyu jamaa ana nia ya mabadiliko ya kweli na hataki habari za kuishi kwa siasa za kujijengea mitandao ndani ya chama halafu inaota mapembe!

Amejifunza kutokana na aliyoyashuhudia mtandao unaponyukana ndani ya chama na kukiondoa kwenye dira ya maendeleo inabaki kujipanga namna ya kunyakua madaraka,badala ya kulitumikia taifa [emoji1241]
Mweeee....jipange upya
 
SI KAFUNGULIWA KESI ....MAHAKAMANI ....SI ATAITWA MAHAKAMANI ....NGOJA TUONE ?

OVA

Mtoto mpenzi wa Baba ataambiwa asiende Mahakamani.Maana Baba ndiyo RAIS
 
Utawala huu ni mgumu kwa sababu tunatawaliwa na kichaa yani chizi kabisa ..kazi ni kutumbua na kuteua hadi sasa hakuna hakuna chochote alichofanya chenye kinamuingizia mchicha mezani mtanzania...

Tunafungua MIRADI iliyoanzishwa/Kutafutwa na WANAUME wenzetu
 
Utawala huu ni mgumu kwa sababu tunatawaliwa na kichaa yani chizi kabisa ..kazi ni kutumbua na kuteua hadi sasa hakuna hakuna chochote alichofanya chenye kinamuingizia mchicha mezani mtanzania...
Kuna machizi wenzake watakuja kumtetea soon
 
Kitendo cha makonda cha kuwachafua vijana wenzake kitakuja kumtokea puani, ni suala la muda tu, sasa hivi anaishi kwa hofu kama digidigi

Hofu anayoishi nayo wala si ya vijana aliowataja kwenye Sembe,issue iko kwa aliowanyang'anya mali zao za mamilioni.Magari mengine mpaka leo wanalipa Mkopo.
 
Utawala huu ni mgumu kwa sababu tunatawaliwa na kichaa yani chizi kabisa ..kazi ni kutumbua na kuteua hadi sasa hakuna hakuna chochote alichofanya chenye kinamuingizia mchicha mezani mtanzania...
Acha mawazo mgando na akili tegemezi wewe!

Kama Watanzania wana mawazo kama yako, basi mbona kazi bado ipo!

Unataka Rais Magufuli akuletee chakula nyumbani kwako?

Rais Magufuli amefanya mambo mengi sana ambayo watangulizi wake hata robo tu hawakufikia.

Maisha utayaona magumu sana kipindi hichi sababu kama ulitegemea kupata kipato kwa kupiga dili basi andika maumivu. Sasa hivi "dili" hakuna tena. Tafuta kazi ya kufanya ya kukuingizia kipato halali na usitegemee Rais atakuletea "mchicha na unga wa mahindi" nyumbani kwako.
 
Halafu.... chunga sana unachoandika. Tuna kuona na tunakufuatilia! Huwezi kumtukana Rais wa nchi kwa kumuita chizi na kichaa!

Nautuma huu ujumbe wako kwa wanaohusika ili wajue namna watakavyokushughulikia. This is too much. Enough is enough. Lazima tuheshimiane sasa.
 
Yapi hayo mambo ya ajabu aliyofanya? Taja moja tu ambalo litaniletea mimi mchicha mezani..watu tumechoka na maneno tunataka kuona vitu...kumsifia ujinga tu..bora hata mkae kimya mnakera
 
Kumbuka klauzi wana miaka mingapi on air na jamaa ana miaka mingapi madarakani na nguvu yake itaisha lini ndo utajua nani mshindi
 
Halafu.... chunga sana unachoandika. Tuna kuona na tunakufuatilia! Huwezi kumtukana Rais wa nchi kwa kumuita chizi na kichaa!

Nautuma huu ujumbe wako kwa wanaohusika ili wajue namna watakavyokushughulikia. This is too much. Enough is enough. Lazima tuheshimiane sasa.
Hahaha hahaha sijawahi kutishwa sitishikagi..tena usinipangie...hyo ndio hali halisi badala mumsaidie apone mnanitisha...mpeni huduma upesi...wewe si unatuma ujumbe kwa wahusika...kabla ujumbe haujashughulikikwa mie ntakuwa nshakushughurikia...
 
Yaan sasa hivi usipowasha data hata dakika mbili Unaweza kukuta hata nchi imebadilishwa jina!! Tujitahidi kuwa online jaman!! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ukumbuke na kufanya kazi lakini, usijejikuta unapoteza muda wa kuzalisha kitu fulani chenye faida kwako, eti kwa sababu tu hutaki kupitwa na habari fulani mpya.
 
Son of Gamba,kuna story ya two most untouchable people,only touch by themselves. Sasa inakuwaje mmoja.
 
"....Makonda yupo chini ya Nahodha katili, shupavu, asiyeangalia wala kusikia cha mtu yeyote yule..."

Unamaanisha katili?
 
Back
Top Bottom