GE2025 Paul Makonda: Rais Samia tumepewa na Mungu, tumuombee afya njema

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
"Rais Samia tumepewa na Mungu hakuwa na timu ya kampeni, hajawahi kuwa na mtandao wala hajawahi kukanyaga watu akijiandaa kutafuta cheo. Tumuombee afya njema Mungu aendelee kumlinda na kumpa moyo wa ustahimilivu".- Paul Makonda

ehh mungu nakuomba umpende zaidi huyu kiumbe wako aliye mwiba kwa watanzania, ili aje kuishi na wewe huko juu amina!
 
Back
Top Bottom