AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapovu vepee makonda n mlezi wa WCB kutokana na kujituma n kujitolea kwa jamii mfano ni cku ya usafi WCB tulijitokeza kulisafisha jiji kwa moyo mmoja vipi nyie timu kibakuli n alisasema atatoa support kwa wasanii waliomsupport cku ya usafi c wanaomsupport wakickia kuna sherehe tuNinapata mashaka na capability yake ya kiungozi, anajinasibu kama mtetezi wa sanaa lakini upande wa pili kuna harufu mbaya ambayo nimeanza kuihisi, Nyie mfatilien tu mtajua nyendo zake, kwa sasa hana tofauti na babu tale au salam, Meneja si meneja yani haeleweki, Ikitokea WCB wamefanya jambo yupo so quickly kutoka kwenye media na kutoa back up either kupongeza au kusema neno juu ya hilo, Fatilien page zake kwny social networks mtaelewa hiki kitu, Anataka kutuaminisha kuwa mafanikio yeyote ya wcb ndio mziki kukua ila mafanikio ya wasanii wengine haoneshi response yeyote, Sasa hebu atuieleze yeye ni kiongoz wa kitaifa aliyepo kwa ajili ya sanaa na wasanii wote au yupo pale kwa ajili ya WCB?
Makonda sio kiongozi wa kitaifa, ni wa ki Dar es salaamNinapata mashaka na capability yake ya kiungozi, anajinasibu kama mtetezi wa sanaa lakini upande wa pili kuna harufu mbaya ambayo nimeanza kuihisi, Nyie mfatilien tu mtajua nyendo zake, kwa sasa hana tofauti na babu tale au salam, Meneja si meneja yani haeleweki, Ikitokea WCB wamefanya jambo yupo so quickly kutoka kwenye media na kutoa back up either kupongeza au kusema neno juu ya hilo, Fatilien page zake kwny social networks mtaelewa hiki kitu, Anataka kutuaminisha kuwa mafanikio yeyote ya wcb ndio mziki kukua ila mafanikio ya wasanii wengine haoneshi response yeyote, Sasa hebu atuieleze yeye ni kiongoz wa kitaifa aliyepo kwa ajili ya sanaa na wasanii wote au yupo pale kwa ajili ya WCB?
Weka wazi wanakunywa kitu gani maana vimiminika vipo vya aina nyingi.Watu wanakunywa kwenye barabara ya mwendo kasi mkuu wa Mkoa yuko busy na wasanii.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapovu vepee makonda n mlezi wa w.c.b kutokana na kujituma n kujitolea kwa jamii mfano ni cku ya usafi w.c.b tulijitokeza kulisafisha jiji kwa moyo mmoja vipi nyie timu kibakuli n alisasema atatoa support kwa wasanii waliomsupport cku ya usafi c wanaom support wakickia kuna sherere tu