Paul Makonda live ndani ya mkasi EATV

Alienda kwenye bunge la katiba ili kupigania baraza la vijana.
 
Anahoji, kama wangechukua maoni ya rasimu ya mapendekezo ya Walioba kwa asilimia 100,wao wajumbe walienda kufanya ninibungeni, kupiga mihuli?
 
Kumwandika huyo kiumbe kwenye JF ni matumizi mabaya ya rasilimali yetu, bora tupoteze wino tuandike mambo mengine yenye maslahi kwa taifa, he is meaningless
 
Anadai Zitto Kabwe ndio kijana anayemvutia kutoka upinzani.
 
Anadai hakumpiga mzee Warioba bali alimsaidia ili asipigwe.
 
Anahoji, kama wangechukua maoni ya rasimu ya mapendekezo ya Walioba kwa asilimia 100,wao wajumbe walienda kufanya ninibungeni, kupiga mihuli?

Napenda ningejua kama kaalikwa kwenye hicho kipindi au kajialika mwenyewe, kuwahoji watu wa aina yake ni kulitia nux taifa
 
Anadai,kazi yake yeye kama kiongozi wa vijana wa ccm ni kulinda wazee.
 
Huyo jamaa ni tapeli nguli.... hana jipya elimu ya kuunga unga.. kadisco kama mara tatu hivi... watu waliosoma Muccobs miaja ya 2007 wanamjua jama Feki pastor
 
Na kwa alvyo ongea kwa mcctizo na kumpamba ucje shangaa huyu mchumia tumbo nae akapewa u DC:what::what::what:kaul yake ni ya kujitongozesha sana kama wale wadada wa mori
 
Huyo jamaa ni tapeli nguli.... hana jipya elimu ya kuunga unga.. kadisco kama mara tatu hivi... watu waliosoma Muccobs miaja ya 2007 wanamjua jama Feki pastor

Huyo mbowe wako hata maana ya GPA haijui
 
Back
Top Bottom