Paul Makonda live ndani ya mkasi EATV

Paul Makonda live ndani ya mkasi EATV

makonda wana undugu na nape wote akili zao zinafanana hawana ni taarabu tuu
 
Huyo mbowe wako hata maana ya GPA haijui

wanaozitunuku kwa wengine huku wakiwa nazo lukuki zimeshindwa kulisaidia taifa na kuliingizia hasara ya tshs. 306blns kwa kuzidiwa na mpasua kokoto Seth asiye na hata cheti cha madrasa!.
Makonda GPA imemsaida nini?. Angekuwa nayo nzuri angejiunga uvccm?. Hizo ni njaa zilizopita kiwango ndo zinamsumbua. Huenda kaomba kuhojiwa na Salama kwani media nyingi zimempa ban kutokana na kitendo chake cha aibu cha kumpiga waziri mkuu na jaji mstaafu. Hata huko ccm hatakiwi anatafutiwa zengwe wampige chini kwani kaharibu ishu nzima ya katiba tarajali ya ccm na wananchi wameapa kuipigia kura za hapana. Nimshauri tu kuwa siasa za ubabe zilishapitwa na wakati. Awaige kina zito na kafulila na john plus mbowe juu ya ujenzi wa hoja zenye kulishika taifa kwa zaidi ya masaa 72!.
 
Kauchambia moto huyo,anampiga mzazi wake?kinachofuata ni laana.
 
Back
Top Bottom