Wakuu,
Huyu hapa Makonda akiwa anawawashia moto wanahabari ambao wanamind vyombo vya habari ambavyo vinaripoti kero na changamoto za wananchi
"Inafika mahala Watanzania wanaenda kulalamika kwa wanahabari huko mitaani, wanahabari wanaenda kuripoti kero za wananchi iliyotokea kwenye halmashauri zetu na inafika kipindi tunawachukia wanahabari wanaoripoti yale ambayo yalipaswa kuripoti na maafisa habari"
View attachment 3529483