Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa

Unaambiwa mchizi sahivi kawa mpoleeeee...anawaogopa hadi wafanyakaz wandan kwake, madereva walinzi maana alijifanya mtukufu kumbe hata mlinzi kamzid "elimu elimu elimu"(lowasa)
Hii ni aibu ya karne walah alisema yeye akiongea Mungu anasimama, ka si kumkufuru Mungu ni nini? Acha ajifunze in hard way sasa
 
Jamani, Makonda ni next level kwa kifupi ni zaidi ya baadhi ya wabunge hata mawaziri .ndiyo maana basi hata wanaopiga kelele hata kule bungeni ni wale walioletwa bungeni na sio wenye Bunge nadhani hapo hamtaelewa
Anyway, sema ni sababu tu hawezi waambia ila anayeelewa ninachosema hiki ni huyu jamaa
haa mym

Kama mnaakili ninyi mnaodai vyeti na majina fatilieni comments za huyo jamaa (haa mym) mtaelewa ninachosema hapa.

Ila mkikalia propaganda za media na redio mbao a.k.a redio ugali mtapasuka msamba.

Mfano, hadi kesho mtaona Makonda anazidi kupanda chati na ndipo mtakaposhang'aa sana.

Pia, watu watafikilia kuwa labda pana upendeleo kwa huyo kijana , wala sivyo isipokuwa ni nafasi yake na kwa kifupi hutakaa daima umuone sijui mbunge tena wa chama chochote anahoji tena juu ya huyo kijana kwenda kupelekwa mara kuhojiwa sijui kamati au bugeni au mahakamani haitatokea.

Niwakumbusheni tu, jambo hili moja nadhani sasa mtaelewa vizuri ninachosema juu ya huyu kiijana kuwa ni nani na pia ana elimu gani,

soma.kwa umakini hii aya hapo chini:-

Siku zote tunaona watuhumiwa kukamatwa na polisi, ila Manji alipoondolewa pale central polisi naamini mliona kaunda suti na miwani nyeusi basi hilo ndiyo jibu na kijana yuko vizuri hana shida.

Mnaopiga kelele mtashang'aa siku moja kijana ni waziri au Balozi baada ya miaka fulani hivi ila tunaoelewa hata hatusumbuki.

Bora , mkatafute chakula cha watoto wenu , familia na jamaa zenu na kuachia hii maneno mbofu mbofu.

Kama, hamjaelewa , basi mtakuwa wauza na wala Unga wa nyoka ndiyo wamewatuma na siyo bure aisee.

Nawatakia siku njema, oooh, najua hapo Tz ni usiku sana, haya usiku mwema.
 
Kwahiyo na zero ya O'levels kule Pamba kitengo ndiyo walimwambia ajifelishe!
Na kurudia std four ni kitengo walimfelisha?
Hicho kitengo kwa mtindo huu ni mzigo wa taifa ka jambo hili dogo linakuwa issue ndo sensitive matter za kitaifa kama mikataba ya uwekezaji, hakika Watanzania twafaa
 
Jamani, Makonda ni next level kwa kifupi ni zaidi ya baadhi ya wabunge hata mawaziri .ndiyo maana basi hata wanaopiga kelele hata kule bungeni ni wale walioletwa bungeni na sio wenye Bunge nadhani hapo hamtaelewa
Anyway, sema ni sababu tu hawezi waambia ila anayeelewa ninachosema hiki ni huyu jamaa
haa mym

Kama mnaakili ninyi mnaodai vyeti na majina fatilieni comments za huyo jamaa (haa mym) mtaelewa ninachosema hapa.

Ila mkikalia propaganda za media na redio mbao a.k.a redio ugali mtapasuka msamba.

Mfano, hadi kesho mtaona Makonda anazidi kupanda chati na ndipo mtakaposhang'aa sana.

Pia, watu watafikilia kuwa labda pana upendeleo kwa huyo kijana , wala sivyo isipokuwa ni nafasi yake na kwa kifupi hutakaa daima umuone sijui mbunge tena wa chama chochote anahoji tena juu ya huyo kijana kwenda kupelekwa mara kuhojiwa sijui kamati au bugeni au mahakamani haitatokea.

Niwakumbusheni tu, jambo hili moja nadhani sasa mtaelewa vizuri ninachosema juu ya huyu kiijana kuwa ni nani na pia ana elimu gani,

soma.kwa umakini hii aya hapo chini:-

Siku zote tunaona watuhumiwa kukamatwa na polisi, ila Manji alipoondolewa pale central polisi naamini mliona kaunda suti na miwani nyeusi basi hilo ndiyo jibu na kijana yuko vizuri hana shida.

Mnaopiga kelele mtashang'aa siku moja kijana ni waziri au Balozi baada ya miaka fulani hivi ila tunaoelewa hata hatusumbuki.

Bora , mkatafute chakula cha watoto wenu , familia na jamaa zenu na kuachia hii maneno mbofu mbofu.

Kama, hamjaelewa , basi mtakuwa wauza na wala Unga wa nyoka ndiyo wamewatuma na siyo bure aisee.

Nawatakia siku njema, oooh, najua hapo Tz ni usiku sana, haya usiku mwema.
umeongea upuuzi sana. hyenda wewe sio mpuuzi ila ulichokiongea ni cha kipuuz
 
Back
Top Bottom