Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa

Huyu dogo ni mtu wa kitengo sasa sishangai kuona anamajina mengi na yote yaweza kuwa ya kwake mradi tu lengo litimie. Suala la kufoji cheti hilo halipo ila anaweza kutumia majina tofauti tofauti kutokana na kazi yake.
Au ndio maana hajibu hizi tuhuma,sababu anajua alichokuwa anakifanya??

Maana haiwezekani kilaza hivo,kufika had ngazi ya ukuu wa mkoa,lazma kuna sababu nyuma yake
 
Kada wa Chama cha Mapinduzi, ndugu Paul Makonda ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu katika Chuo cha Ushirika na Rais wa Chuo ndugu Godfrey Washoto lakini katika hali isiyojulikana Bunge limekataa kumuidhinisha kuwa Waziri Mkuu kutokana na kwamba ndugu Paul Makonda amekuwa haeleweki na wabunge hawana imani naye kutokana na kuhairisha miaka kila mara na miaka yote hamalizi chuo.

Bunge la chuo limehairishwa bila kupata muafaka
ndio huyo wanayesema anaitwa Daudi BAshite Albert? jamani...hahahahaha. Mungu amsaidie, ila aache kiburi. ajishushaye atakwezwa, ajikwezaye ataashushwa. badala ya kukimbilia kwa Mungu wa kweli, mhubiri mkubwa amekimbilia kwa wauza majini na waganga wa kienyeji. Mungu atamfuta muda si mrefu. ametumainia mashetani na kumwacha Mungu.
 
Mungu wa kweli ni yupi?
 
Mungu wa kweli ni yupi?
Daudi Bashite sio kwamba hamjui Mungu. ni mtu aliyekulia maisha ya kilokole muda mrefu wa maisha yake. pengine kwasababu alikuwa anafeli maisha yake yote tangu darasa la nne ndio maana aliamua kumtafuta sana Mungu. ameishi maisha kuw amhubiri wa injili mikutanoni kwa walokole huko. ukisikiliza alichokisema mamake utaelewa. lakini leo anategemea kuwekewa mikono na waganga wa kienyeji na wasoma nyota na wafuga majini. Baada ya Mungu kumwinua, amemtupa Mungu kule, kiburi kimemjaa, pesa anazopata anawapangishia watu majumba makongo, anawatongoza kina wema...shida tupu anakula bata.
 
Makonda anaenda kanisani kila jumapili kusali, ina maana huko ndio anakutana na majini?
 
Kada wa Chama cha Mapinduzi, ndugu Paul Makonda ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu katika Chuo cha Ushirika na Rais wa Chuo ndugu Godfrey Washoto lakini katika hali isiyojulikana Bunge limekataa kumuidhinisha kuwa Waziri Mkuu kutokana na kwamba ndugu Paul Makonda amekuwa haeleweki na wabunge hawana imani naye kutokana na kuhairisha miaka kila mara na miaka yote hamalizi chuo.

Bunge la chuo limehairishwa bila kupata muafaka
Asante Jei efu a place wea we dea to spiki openile.....
 
Madaktari wake wakae karibu na uyu dogo maana atakua kaamsha kila ugonjwa watu wanakomaa nae bampa to bampa kuna manguli wapo kule jikoni wanamchora dogo na wehu wake tu.
 
Unaambiwa mchizi sahivi kawa mpoleeeee...anawaogopa hadi wafanyakaz wandan kwake, madereva walinzi maana alijifanya mtukufu kumbe hata mlinzi kamzid "elimu elimu elimu"(lowasa)
 
Back
Top Bottom