PreGE2025 Paul Makonda anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

PreGE2025 Paul Makonda anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nchi yenye wajinga wengi si ajabu mchinga zaidi akainuliwa na wajinga wenzake kuwaongoza wajinga kijinga!
Werevu hamtaki siasa mko bize na mambo yenu sasa unategemea nini
Acha hao wanaoitwa wajinga wachangamkie fursa za kwenye siasa ikiwemo uongozi

Makonda kuwa waziri mkuu hata urais sitashangaa hata kidogo
 
Naunga mkono hoja.
Kuna baadhi ya mawaziri wakuu waliopita kama akina mzee Kawawa , Sokoine, Malecela, Sumaye, Lowasa na Pinda ambao hawakuwa na elimu kubwa kihivyo ambayo Makonda hana.
Naona haina haina shida alipewa hiyo nafasi ya kuwatumikia wananchi.
 
Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Hiyo Inawezekana tu kama NCHIMBI hatakuwa mgombea mwenza!
Makonda hawezi kuwa waziri mkuu na NCHIMBI akiwa makamu wa Rais iwapo kutakuwa na uchaguzi!!
Hata kama Samia atakuwa na mapenzi hayo kwa Makonda lazima atapingwa!!!
 
Na iwe hivyo
 
Back
Top Bottom