Paul Makonda amtaka Tundu Lissu kurudi Tanzania haraka sana

Anaandika Paul Makonda kwenye ukurasa wake instagra:

ACHA NISEME NAWE KIDOGO KAKA YANGU TUNDU LISSU HASA NIKIANZA NA
Shukran kwake muumba wa mbingu na ardhi kwa kumpa kaka yetu Tundu Lissu afya na siha njema.
Wengi walioko jimboni Singida na wa Tanzania wote walihangaika kwa sala na maombi, usiku na mchana, Wengine wakichanga pesa zao na Hatimaye Mola akajibu maombi yao.

Kwa heshima na kuonyesha uzalendo, nakushauri Kaka yangu Tundu Lissu rudi nyumbani utoe shukrani zako kwao. Watu wako wamekumiss zaidi ya hao unaowakimbilia hivi sasa.

Ziara yako huko haina tija kwa yoyote, na kuichafua Serikali si kumchafua Mh. Rais ni kuichafua TANZANIA yetu sote na wewe ukiwemo. Jimboni kwako haujakuwepo muda mrefu, ni vizuri kwa kuwa Mungu kakujaalia afya basi ukaitumia kuwasikiliza na kuwasaidia watu wa jimboni kwako ambao ni watanzania. Huko uliko wanamatatizo yao na hawajawahi kuja TANZANIA kutueleza matatizo yao. Zaidi wanakuona kama kituko japokua hawawezi kukuambia.

Ikiwa ni lazima sana kuisema Tanzania dhidi ya kile unachokiita ubaya, na ni lazima useme kwa hao waliowatesa na kuwauwa Babu zetu basi Naomba usiache kuwaambia na haya; Shirika letu ya ATCL sasa limefufuka, sasa tuna ndege mpya sita (6), na ndege mbili (2) zikiwa njiani.

Ikiwa Lazima sana uwaambie pia ya kwamba ile mikataba mibovu iliyokuwa inapelekea shirika la Tanesco kufa na kufikia hata umeme kukatika katika, gharama kubwa na usiotabirika, sasa Rais Magufuli anajenga “Stiegler's Gorge” yenye uwezo wa kuzalisha Megawatts zaidi 2,100 kwa wakati mmoja.

Ikiwa Lazima sana useme, basi waeleze kwamba mafisadi mwisho wao ulishafika, tulikuwa hatuna mahakama ya mafisadi, sasa tuna mahakama ya mafisadi na wahujumu uchumi. Mafisadi na wahujumu uchumi sasa wanafikishwa mahakamani.

Ikiwa ni lazima sana waeleze, naomba usisite pia kuwaambia Watoto wa masikini na wanyonge sasa wanasoma bure kuanzia darasa la kwanza mpaka Kidato cha nne.

Ndugu yangu na kaka yangu mpendwa Tundu Lissu, kama Lazima sana ukae na hao wazungu uwaeleze, Naomba uwaambie pia ya kwamba sasa miundo mbinu na barabara zinajengwa kila kona ya nchi ya Tanzania, hata utakaporudi Tanzania utapita kwa Flyover ya Mfugale.

Ikiwa ni Lazima sana waambie, basi usiache pia kuwaambia ya kwamba mash

Ikiwa ni Lazima sana waambie, basi usiache pia kuwaambia ya kwamba mashirika ya umma pamoja na mikataba iliyokuwa imeingiwa ya makampuni, sasa hivi serikali inapata dividend.

Ikiwa ni Lazima sana waambie, wale Wanyama Tembo na Twiga waliokuwa wakisafirishwa na kuuwawa sasa hawasafirishwi tena kwenye ndege, wala hawauwawi na wapo salama hivyo waje kutembelea Tanzania tunahitaji watalii.

Ikiwa ni Lazima sana waambie basi Tanzanite inapatikana Tanzania tu, tena Arusha pale na duniani kote ni kwetu tu Tanzania. Tumejenga ukuta sasa kuhakikisha Tanzanite inalindwa na sasa thamani ya Tanzanite inaonekana kwenye mchango wa pato la Taifa.

Ndugu yangu na kaka yangu Mpendwa, Kama ni lazima sana waambie, yale madini waliyokuwa wanayasafirisha kwenye makontena na kutuambia ni mchanga tu, sasa yanabaki ndani ya nchi yetu na tayari taifa limeanza kunufaika. Na wale wajanja wanaosafirisha kwa kutorosha wanakamatwa, juzi tu hapa wamepelekwa mahakamani.

Ndugu yangu Tundu Lissu, Kama ni lazima saana waambie, waambie basi miradi ya maji kutoka ziwa Victoria, Miradi ya maji Dar es salaam, Miradi ya maji Mbeya, sasa hivi maji yanapatikana na kadri siku zinavyokwenda Raisi anazidi kutenga fedha kuhakikisha wananchi wanapata maji.

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie basi migogoro ya wafugaji na wakulima imepungua sana na hawachinjani tena watanzania, wanakaa mezani wanayamaliza.

Lakini kama ni lazima sana uwaambie, waambie basi kwamba Raisi Magufuli anapanua tena bandari ya Dar es salaam kuhakikisha kwamba zile meli kubwa zenye mizigo mikubwa au mizigo mingi zinakuja kwenye bandari ya Dar es salaam.

Kama ni Lazima sana uwaambie, basi naomba uendelee kuwaambia ya kwamba Tanzania mpya inakuja, Tanzania mpya inajengwa, na Tanzania mpya ni ya watanzania wote.

Ndugu yangu Tundu Lissu, nakukaribisha tena, unaporejea tena katika taifa letu, taifa hili la Tanzania utakuta tayari terminal 3 Airport imeishaanza kufanya kazi na usisahau kupiga selfie maana nyumbani kumenoga.

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie tangu mwaka 1909 ilipokuwa inajengwa reli ya kati kwa ajili ya kusafirisha mpira kutoka congo kuleta bandari ya Dar es salaam na wajerumani, sasa awamu hii raisi Magufuli ana

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie tangu mwaka 1909 ilipokuwa inajengwa reli ya kati kwa ajili ya kusafirisha mpira kutoka congo kuleta bandari ya Dar es salaam na wajerumani, sasa awamu hii raisi Magufuli anajenga reli ya Standard Gauge tena kwa fedha zetu za ndani.

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie wafanyakazi sasa wanafurahia mifuko ya hifadhi na mafao yao. Misharaha ya wafanyakazi haicheleweshwi tena.

Kama ni Lazima sana uwaambie, waambie Viwanja vya ndege vinajengwa na Rada kulinda anga letu zinajengwa na usalama wa nchi unazidi kuhimarishwa

Usisahau tena kuwaambie bujeti ya Afya imeongezwa sana, Hospital na vituo vya afya vinajengwa, huduma za mama na mtoto pamoja na wazee zimeboreshwa, madawa yanapatikana sasa mahospitalini.

Wakati unakaribia kuwaaga na unataka kuwaambia la mwisho, basi waambie wamachinga wana vitambulisho vya kuwafanya wafanye kazi bila kubugudhiwa wala kusumbuliwa na yeyote. Waambie pia wamachinga wana pia bima za afya.

Ndugu yangu Tundu Lissu, kama ni lazima sana ukae na hao wazungu uwaeleze, waeleze basi habari za bomba la mafuta linajengwa kutoka Uganda kuelekea Kwetu Tanga kuimarisha uchumi wetu kwa ujumla.

Kama ni Lazima sana uwaambie, waambie serikali ya Tanzania ni ya Viwanda, viwanda vinajengwa na watanzania wana pata Ajira .

Kama ni lazima sana uwaambie, basi waambie kwamba sasa hivi Tanzania mfumuko wa bei umeshuka ( inflation). Kama ni lazima sana uwaambie, waambie basi ndugu yangu, usisite basi na unapokuwa unataka kusema hayo unayotaka kuyasema naomba na mimi nikuongezee mengine ya kwangu na ya watanzania tulioko huku tunaojua kinachoendelea. Kama lazima sana useme waambie Interest rate imeshushwa na watanzania wanaendelea kukopa.

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie hakuna njaa tena Tanzania, chakula kipo cha kutosha mpaka tunawauzia umoja wa mataifa wakasaidie makambi ya wakimbizi. Watu wanalima na wanavuna.

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie pia Tanzania ni miongoni mwa nchi tano (5) za Afrika ambazo uchumi wake unakua kwa kasi.

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie waje wawekeze Tanzania, hakuna tena Rushwa, hakuna tena “ten percent” mambo yamenyooka.
Namalizia kwakushangaa leo watu waliochukua madini yetu, waliotutawala na kuwafanya watu weusi kuwa watumwa leo unawaomba wakuunge mkono ili uwe Rais, utakuwa Rais wetu au wa watu weupe, tutakua tumekuchangua sisi au umechaguliwa na wazungu.

Hivi unapitishwa na wazungu kugombea Uraisi au na wanachama wa chama chako? Ni vikao vingapi vya chama haujahudhuria?Mbaya Zaidi unajua mwenyekiti wa chama ambaye kimsingi ndiye aliyekupigania kutafuta fedha, kukaa na wewe Nairobi na kuja mpaka Ubeligiji umeamua kumwacha ateseke na kutumia nafasi yako ya Urais ustaafu TLS kuwashawishi Mawakili wajitoe Ili aendelee kuteseka huku wewe ukitumia fursa hii kutafuta uraisi. Hauangaiki wala hata haufikirii kwamba ni wakati muafaka kurudi kuja kumpa moyo kama ambavyo alifanya yeye.

Kweli hayo ndio malipo unayompa Mbowe kwa kukuangaikia wewe upate matibabu bora. Tulitegemea wewe kama mwanasheria ungekuwa umerejea nchini na kumsaidia mbowe lakini uroho wa madaraka umekufanya kutumia matatizo yake kujiimarisha kisiasa na kutafuta uraisi.

Ni mimi Mdogo wako Paul Makonda

Kwa Ufupi...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemtaka Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Tundu Lissu kutangaza baadhi ya mambo ambayo yamefanywa na Rais Magufuli kufuatia Tundu lissu kufanya ziara katika baadhi ya nchi barani Ulaya.

Makonda ameandika "shukrani kwake muumba wa mbingu na ardhi kwa kumpa kaka yetu Tundu Lissu afya na siha njema''.

"Wengi walioko jimboni Singida na watanzania wote walihangaika kwa sala na maombi, usiku na mchana, wengine wakichanga pesa zao na hatimaye mola akajibu maombi yao." ameandika Makonda.

"Kwa heshima na kuonyesha uzalendo, nakushauri Kaka yangu Tundu Lissu rudi nyumbani utoe shukrani zako kwao. Watu wako wamekumiss zaidi ya hao unaowakimbilia hivi sasa."

"Ziara yako huko haina tija kwa yoyote, na kuichafua Serikali si kumchafua Mh. Rais ni kuichafua Tanzania yetu sote na wewe ukiwemo."
Ile picha ijayo itawashangaza wengi itakuwa muvi yakuangaliwa na wengi na James Bond wa kuigiza na zile tolori nyeupe watashushwa kama vilima vya mwisho na hapo ndipo kila mmoja atasimama kwenye tambarare pasiwepo na kichaka wala shimo la kujificha. Ahaa na huyu pia na yule wamo hatari sana na ukombozi wa ukweli utakuwa umeshafika. Asubuhi njema!
 
Ukute DAB hata mia hakuchanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kuchanga mia, aliamrisha FFU watusambaratishe pale Sinza tulipokuwa tumekusanyika kumwombea TAL kwa Mnyezi Mungu amponyeshe haraka. Pia aliongoza kampeni ya kupiga marufuku ya T-shirts za 'Pray for TAL'. Wakati huo huo ilikuwa inaendeshwa kampeni ya kumwombea Jiwe (sikumbuki Jiwe alikuwa anaombewa kwa lipi wakati huo. Lakini kila siku ilikuwa mtuombee, mtuombee, mtuombee!). Hawa watu wasingekwenda shule na wakabakia vijijini, wangekuwa wachawi wa kuvizia albinos.
 
Anaandika Paul Makonda kwenye ukurasa wake instagra:

ACHA NISEME NAWE KIDOGO KAKA YANGU TUNDU LISSU HASA NIKIANZA NA
Shukran kwake muumba wa mbingu na ardhi kwa kumpa kaka yetu Tundu Lissu afya na siha njema.
Wengi walioko jimboni Singida na wa Tanzania wote walihangaika kwa sala na maombi, usiku na mchana, Wengine wakichanga pesa zao na Hatimaye Mola akajibu maombi yao.

Kwa heshima na kuonyesha uzalendo, nakushauri Kaka yangu Tundu Lissu rudi nyumbani utoe shukrani zako kwao. Watu wako wamekumiss zaidi ya hao unaowakimbilia hivi sasa.

Ziara yako huko haina tija kwa yoyote, na kuichafua Serikali si kumchafua Mh. Rais ni kuichafua TANZANIA yetu sote na wewe ukiwemo. Jimboni kwako haujakuwepo muda mrefu, ni vizuri kwa kuwa Mungu kakujaalia afya basi ukaitumia kuwasikiliza na kuwasaidia watu wa jimboni kwako ambao ni watanzania. Huko uliko wanamatatizo yao na hawajawahi kuja TANZANIA kutueleza matatizo yao. Zaidi wanakuona kama kituko japokua hawawezi kukuambia.

Ikiwa ni lazima sana kuisema Tanzania dhidi ya kile unachokiita ubaya, na ni lazima useme kwa hao waliowatesa na kuwauwa Babu zetu basi Naomba usiache kuwaambia na haya; Shirika letu ya ATCL sasa limefufuka, sasa tuna ndege mpya sita (6), na ndege mbili (2) zikiwa njiani.

Ikiwa Lazima sana uwaambie pia ya kwamba ile mikataba mibovu iliyokuwa inapelekea shirika la Tanesco kufa na kufikia hata umeme kukatika katika, gharama kubwa na usiotabirika, sasa Rais Magufuli anajenga “Stiegler's Gorge” yenye uwezo wa kuzalisha Megawatts zaidi 2,100 kwa wakati mmoja.

Ikiwa Lazima sana useme, basi waeleze kwamba mafisadi mwisho wao ulishafika, tulikuwa hatuna mahakama ya mafisadi, sasa tuna mahakama ya mafisadi na wahujumu uchumi. Mafisadi na wahujumu uchumi sasa wanafikishwa mahakamani.

Ikiwa ni lazima sana waeleze, naomba usisite pia kuwaambia Watoto wa masikini na wanyonge sasa wanasoma bure kuanzia darasa la kwanza mpaka Kidato cha nne.

Ndugu yangu na kaka yangu mpendwa Tundu Lissu, kama Lazima sana ukae na hao wazungu uwaeleze, Naomba uwaambie pia ya kwamba sasa miundo mbinu na barabara zinajengwa kila kona ya nchi ya Tanzania, hata utakaporudi Tanzania utapita kwa Flyover ya Mfugale.

Ikiwa ni Lazima sana waambie, basi usiache pia kuwaambia ya kwamba mash

Ikiwa ni Lazima sana waambie, basi usiache pia kuwaambia ya kwamba mashirika ya umma pamoja na mikataba iliyokuwa imeingiwa ya makampuni, sasa hivi serikali inapata dividend.

Ikiwa ni Lazima sana waambie, wale Wanyama Tembo na Twiga waliokuwa wakisafirishwa na kuuwawa sasa hawasafirishwi tena kwenye ndege, wala hawauwawi na wapo salama hivyo waje kutembelea Tanzania tunahitaji watalii.

Ikiwa ni Lazima sana waambie basi Tanzanite inapatikana Tanzania tu, tena Arusha pale na duniani kote ni kwetu tu Tanzania. Tumejenga ukuta sasa kuhakikisha Tanzanite inalindwa na sasa thamani ya Tanzanite inaonekana kwenye mchango wa pato la Taifa.

Ndugu yangu na kaka yangu Mpendwa, Kama ni lazima sana waambie, yale madini waliyokuwa wanayasafirisha kwenye makontena na kutuambia ni mchanga tu, sasa yanabaki ndani ya nchi yetu na tayari taifa limeanza kunufaika. Na wale wajanja wanaosafirisha kwa kutorosha wanakamatwa, juzi tu hapa wamepelekwa mahakamani.

Ndugu yangu Tundu Lissu, Kama ni lazima saana waambie, waambie basi miradi ya maji kutoka ziwa Victoria, Miradi ya maji Dar es salaam, Miradi ya maji Mbeya, sasa hivi maji yanapatikana na kadri siku zinavyokwenda Raisi anazidi kutenga fedha kuhakikisha wananchi wanapata maji.

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie basi migogoro ya wafugaji na wakulima imepungua sana na hawachinjani tena watanzania, wanakaa mezani wanayamaliza.

Lakini kama ni lazima sana uwaambie, waambie basi kwamba Raisi Magufuli anapanua tena bandari ya Dar es salaam kuhakikisha kwamba zile meli kubwa zenye mizigo mikubwa au mizigo mingi zinakuja kwenye bandari ya Dar es salaam.

Kama ni Lazima sana uwaambie, basi naomba uendelee kuwaambia ya kwamba Tanzania mpya inakuja, Tanzania mpya inajengwa, na Tanzania mpya ni ya watanzania wote.

Ndugu yangu Tundu Lissu, nakukaribisha tena, unaporejea tena katika taifa letu, taifa hili la Tanzania utakuta tayari terminal 3 Airport imeishaanza kufanya kazi na usisahau kupiga selfie maana nyumbani kumenoga.

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie tangu mwaka 1909 ilipokuwa inajengwa reli ya kati kwa ajili ya kusafirisha mpira kutoka congo kuleta bandari ya Dar es salaam na wajerumani, sasa awamu hii raisi Magufuli ana

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie tangu mwaka 1909 ilipokuwa inajengwa reli ya kati kwa ajili ya kusafirisha mpira kutoka congo kuleta bandari ya Dar es salaam na wajerumani, sasa awamu hii raisi Magufuli anajenga reli ya Standard Gauge tena kwa fedha zetu za ndani.

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie wafanyakazi sasa wanafurahia mifuko ya hifadhi na mafao yao. Misharaha ya wafanyakazi haicheleweshwi tena.

Kama ni Lazima sana uwaambie, waambie Viwanja vya ndege vinajengwa na Rada kulinda anga letu zinajengwa na usalama wa nchi unazidi kuhimarishwa

Usisahau tena kuwaambie bujeti ya Afya imeongezwa sana, Hospital na vituo vya afya vinajengwa, huduma za mama na mtoto pamoja na wazee zimeboreshwa, madawa yanapatikana sasa mahospitalini.

Wakati unakaribia kuwaaga na unataka kuwaambia la mwisho, basi waambie wamachinga wana vitambulisho vya kuwafanya wafanye kazi bila kubugudhiwa wala kusumbuliwa na yeyote. Waambie pia wamachinga wana pia bima za afya.

Ndugu yangu Tundu Lissu, kama ni lazima sana ukae na hao wazungu uwaeleze, waeleze basi habari za bomba la mafuta linajengwa kutoka Uganda kuelekea Kwetu Tanga kuimarisha uchumi wetu kwa ujumla.

Kama ni Lazima sana uwaambie, waambie serikali ya Tanzania ni ya Viwanda, viwanda vinajengwa na watanzania wana pata Ajira .

Kama ni lazima sana uwaambie, basi waambie kwamba sasa hivi Tanzania mfumuko wa bei umeshuka ( inflation). Kama ni lazima sana uwaambie, waambie basi ndugu yangu, usisite basi na unapokuwa unataka kusema hayo unayotaka kuyasema naomba na mimi nikuongezee mengine ya kwangu na ya watanzania tulioko huku tunaojua kinachoendelea. Kama lazima sana useme waambie Interest rate imeshushwa na watanzania wanaendelea kukopa.

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie hakuna njaa tena Tanzania, chakula kipo cha kutosha mpaka tunawauzia umoja wa mataifa wakasaidie makambi ya wakimbizi. Watu wanalima na wanavuna.

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie pia Tanzania ni miongoni mwa nchi tano (5) za Afrika ambazo uchumi wake unakua kwa kasi.

Kama ni lazima sana uwaambie, waambie waje wawekeze Tanzania, hakuna tena Rushwa, hakuna tena “ten percent” mambo yamenyooka.
Namalizia kwakushangaa leo watu waliochukua madini yetu, waliotutawala na kuwafanya watu weusi kuwa watumwa leo unawaomba wakuunge mkono ili uwe Rais, utakuwa Rais wetu au wa watu weupe, tutakua tumekuchangua sisi au umechaguliwa na wazungu.

Hivi unapitishwa na wazungu kugombea Uraisi au na wanachama wa chama chako? Ni vikao vingapi vya chama haujahudhuria?Mbaya Zaidi unajua mwenyekiti wa chama ambaye kimsingi ndiye aliyekupigania kutafuta fedha, kukaa na wewe Nairobi na kuja mpaka Ubeligiji umeamua kumwacha ateseke na kutumia nafasi yako ya Urais ustaafu TLS kuwashawishi Mawakili wajitoe Ili aendelee kuteseka huku wewe ukitumia fursa hii kutafuta uraisi. Hauangaiki wala hata haufikirii kwamba ni wakati muafaka kurudi kuja kumpa moyo kama ambavyo alifanya yeye.

Kweli hayo ndio malipo unayompa Mbowe kwa kukuangaikia wewe upate matibabu bora. Tulitegemea wewe kama mwanasheria ungekuwa umerejea nchini na kumsaidia mbowe lakini uroho wa madaraka umekufanya kutumia matatizo yake kujiimarisha kisiasa na kutafuta uraisi.

Ni mimi Mdogo wako Paul Makonda

Kwa Ufupi...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemtaka Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Tundu Lissu kutangaza baadhi ya mambo ambayo yamefanywa na Rais Magufuli kufuatia Tundu lissu kufanya ziara katika baadhi ya nchi barani Ulaya.

Makonda ameandika "shukrani kwake muumba wa mbingu na ardhi kwa kumpa kaka yetu Tundu Lissu afya na siha njema''.

"Wengi walioko jimboni Singida na watanzania wote walihangaika kwa sala na maombi, usiku na mchana, wengine wakichanga pesa zao na hatimaye mola akajibu maombi yao." ameandika Makonda.

"Kwa heshima na kuonyesha uzalendo, nakushauri Kaka yangu Tundu Lissu rudi nyumbani utoe shukrani zako kwao. Watu wako wamekumiss zaidi ya hao unaowakimbilia hivi sasa."

"Ziara yako huko haina tija kwa yoyote, na kuichafua Serikali si kumchafua Mh. Rais ni kuichafua Tanzania yetu sote na wewe ukiwemo."
Huo ndio ukweli.Haiingi akilini kuzunguka kuipaka matope nchi halafu utegemee tena tukukabidhi majukumu kama ya kibunge
 
Hili andiko limetawaliwa na fikra za kishamba zaidi kuliko uhalisia wa nini kinapaswa kufanyika kubadili hali ya maisha ya watanzania na uchumi wa nchi kwa ujumla.
Unajua tabia za Makonda zinanikumbusha zamani nilikuwa na mlinzi wangu na kwa Kurwa nilikuwa napiga mtungi sana nilikuwa mara nyingi makosa umakini getini wakati naingia hivyo kukwangua gari.
Lakini kwa kujipendekeza kwake badala ya kumwambia ukweli huwa ni pombe yeye ananisifu eti niko makini! Nilishtuka, mie napata hasara we unajikomba kwa kunidanganya! Fukuza zake
 
IMG_0266.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni chambo, mbona sasa tena ghafra tena kama wote. Kuna watu walikuwa wanasubiri muda na saa tu wagonge mvinyo, matokeo yake mvinyo umechachia kwenye bilauli na wanaona aibu kuumwaga.
 
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameandika waraka mzito akimponda Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ambaye kwa sasa yupo ziarani barani Ulaya baada ya kupata nafuu kufuatia shambulizi la kupigwa risasi alilofanyiwa Septemba 7, 2017 nyumbani kwake Dodoma.
Makonda ameandika;
ACHA NISEME NAWE KIDOGO KAKA YANGU TUNDU LISSU HASA NIKIANZA NA Shukran kwake muumba wa mbingu na ardhi kwa kumpa kaka yetu Tundu Lissu afya na siha njema.
Wengi walioko jimboni Singida na wa Tanzania wote walihangaika kwa sala na maombi, usiku na mchana, Wengine wakichanga pesa zao na Hatimaye Mola akajibu maombi yao.
Kwa heshima na kuonyesha uzalendo, nakushauri Kaka yangu Tundu Lissu rudi nyumbani utoe shukrani zako kwao. Watu wako wamekumiss zaidi ya hao unaowakimbilia hivi sasa.
Ziara yako huko haina tija kwa yoyote, na kuichafua Serikali si kumchafua Mh. Rais ni kuichafua TANZANIA yetu sote na wewe ukiwemo. Jimboni kwako haujakuwepo muda mrefu, ni vizuri kwa kuwa Mungu kakujaalia afya basi ukaitumia kuwasikiliza na kuwasaidia watu wa jimboni kwako ambao ni Watanzania.
Huko uliko wanamatatizo yao na hawajawahi kuja TANZANIA kutueleza matatizo yao. Zaidi wanakuona kama kituko japokua hawawezi kukuambia.
Ikiwa ni lazima sana kuisema Tanzania dhidi ya kile unachokiita ubaya, na ni lazima useme kwa hao waliowatesa na kuwauwa Babu zetu basi Naomba usiache kuwaambia na haya; Shirika letu ya ATCL sasa limefufuka, sasa tuna ndege mpya sita (6), na ndege mbili (2) zikiwa njiani.
Ikiwa Lazima sana uwaambie pia ya kwamba ile mikataba mibovu iliyokuwa inapelekea shirika la Tanesco kufa na kufikia hata umeme kukatika katika, gharama kubwa na usiotabirika, sasa Rais Magufuli anajenga “Stiegler’s Gorge” yenye uwezo wa kuzalisha Megawatts zaidi 2,100 kwa wakati mmoja.
Ikiwa Lazima sana useme, basi waeleze kwamba mafisadi mwisho wao ulishafika, tulikuwa hatuna mahakama ya mafisadi, sasa tuna mahakama ya mafisadi na wahujumu uchumi. Mafisadi na wahujumu uchumi sasa wanafikishwa mahakamani.
Ikiwa ni lazima sana waeleze, naomba usisite pia kuwaambia Watoto wa masikini na wanyonge sasa wanasoma bure kuanzia darasa la kwanza mpaka Kidato cha nne.
Ndugu yangu na kaka yangu mpendwa Tundu Lissu, kama Lazima sana ukae na hao wazungu uwaeleze, Naomba uwaambie pia ya kwamba sasa miundo mbinu na barabara zinajengwa kila kona ya nchi ya Tanzania, hata utakaporudi Tanzania utapita kwa Flyover ya Mfugale.
Ikiwa ni Lazima sana waambie, basi usiache pia kuwaambia ya kwamba mashirika ya umma pamoja na mikataba iliyokuwa imeingiwa ya makampuni, sasa hivi serikali inapata dividend.
Ikiwa ni Lazima sana waambie, wale Wanyama Tembo na Twiga waliokuwa wakisafirishwa na kuuwawa sasa hawasafirishwi tena kwenye ndege, wala hawauwawi na wapo salama hivyo waje kutembelea Tanzania tunahitaji watalii.
Ikiwa ni Lazima sana waambie basi Tanzanite inapatikana Tanzania tu, tena Arusha pale na duniani kote ni kwetu tu Tanzania. Tumejenga ukuta sasa kuhakikisha Tanzanite inalindwa na sasa thamani ya Tanzanite inaonekana kwenye mchango wa pato la Taifa.
Ndugu yangu na kaka yangu Mpendwa, Kama ni lazima sana waambie, yale madini waliyokuwa wanayasafirisha kwenye makontena na kutuambia ni mchanga tu, sasa yanabaki ndani ya nchi yetu na tayari taifa limeanza kunufaika. Na wale wajanja wanaosafirisha kwa kutorosha wanakamatwa, juzi tu hapa wamepelekwa mahakamani.
Ndugu yangu Tundu Lissu, Kama ni lazima saana waambie, waambie basi miradi ya maji kutoka ziwa Victoria, Miradi ya maji Dar es salaam, Miradi ya maji Mbeya, sasa hivi maji yanapatikana na kadri siku zinavyokwenda Raisi anazidi kutenga fedha kuhakikisha wananchi wanapata maji.
Kama ni lazima sana uwaambie, waambie basi migogoro ya wafugaji na wakulima imepungua sana na hawachinjani tena watanzania, wanakaa mezani wanayamaliza.
Lakini kama ni lazima sana uwaambie, waambie basi kwamba Raisi Magufuli anapanua tena bandari ya Dar es salaam kuhakikisha kwamba zile meli kubwa zenye mizigo mikubwa au mizigo mingi zinakuja kwenye bandari ya Dar es salaam.
Kama ni Lazima sana uwaambie, basi naomba uendelee kuwaambia ya kwamba Tanzania mpya inakuja, Tanzania mpya inajengwa, na Tanzania mpya ni ya watanzania wote.
Ndugu yangu Tundu Lissu, nakukaribisha tena, unaporejea tena katika taifa letu, taifa hili la Tanzania utakuta tayari terminal 3 Airport imeishaanza kufanya kazi na usisahau kupiga selfie maana nyumbani kumenoga.
Kama ni lazima sana uwaambie, waambie tangu mwaka 1909 ilipokuwa inajengwa reli ya kati kwa ajili ya kusafirisha mpira kutoka congo kuleta bandari ya Dar es salaam na wajerumani, sasa awamu hii raisi Magufuli anajenga reli ya Standard Gauge tena kwa fedha zetu za ndani.
Kama ni lazima sana uwaambie, waambie wafanyakazi sasa wanafurahia mifuko ya hifadhi na mafao yao. Misharaha ya wafanyakazi haicheleweshwi tena.
Kama ni Lazima sana uwaambie, waambie Viwanja vya ndege vinajengwa na Rada kulinda anga letu zinajengwa na usalama wa nchi unazidi kuhimarishwa
Usisahau tena kuwaambie bujeti ya Afya imeongezwa sana, Hospital na vituo vya afya vinajengwa, huduma za mama na mtoto pamoja na wazee zimeboreshwa, madawa yanapatikana sasa mahospitalini.
Wakati unakaribia kuwaaga na unataka kuwaambia la mwisho, basi waambie wamachinga wana vitambulisho vya kuwafanya wafanye kazi bila kubugudhiwa wala kusumbuliwa na yeyote. Waambie pia wamachinga wana pia bima za afya.
Ndugu yangu Tundu Lissu, kama ni lazima sana ukae na hao wazungu uwaeleze, waeleze basi habari za bomba la mafuta linajengwa kutoka Uganda kuelekea Kwetu Tanga kuimarisha uchumi wetu kwa ujumla.
Kama ni Lazima sana uwaambie, waambie serikali ya Tanzania ni ya Viwanda, viwanda vinajengwa na watanzania wana pata Ajira .
Kama ni lazima sana uwaambie, basi waambie kwamba sasa hivi Tanzania mfumuko wa bei umeshuka ( inflation).
Kama ni lazima sana uwaambie, waambie basi ndugu yangu, usisite basi na unapokuwa unataka kusema hayo unayotaka kuyasema naomba na mimi nikuongezee mengine ya kwangu na ya watanzania tulioko huku tunaojua kinachoendelea. Kama lazima sana useme waambie Interest rate imeshushwa na watanzania wanaendelea kukopa.
Kama ni lazima sana uwaambie, waambie hakuna njaa tena Tanzania, chakula kipo cha kutosha mpaka tunawauzia umoja wa mataifa wakasaidie makambi ya wakimbizi. Watu wanalima na wanavuna.
Kama ni lazima sana uwaambie, waambie pia Tanzania ni miongoni mwa nchi tano (5) za Afrika ambazo uchumi wake unakua kwa kasi.
Kama ni lazima sana uwaambie, waambie waje wawekeze Tanzania, hakuna tena Rushwa, hakuna tena “ten percent” mambo yamenyooka.
Namalizia kwakushangaa leo watu waliochukua madini yetu, waliotutawala na kuwafanya watu weusi kuwa watumwa leo unawaomba wakuunge mkono ili uwe Rais, utakuwa Rais wetu au wa watu weupe, tutakua tumekuchangua sisi au umechaguliwa na wazungu. Hivi unapitishwa na wazungu kugombea Uraisi au na wanachama wa chama chako? Ni vikao vingapi vya chama haujahudhuria?
Mbaya Zaidi unajua mwenyekiti wa chama ambaye kimsingi ndiye aliyekupigania kutafuta fedha, kukaa na wewe Nairobi na kuja mpaka Ubeligiji umeamua kumwacha ateseke na kutumia nafasi yako ya Urais ustaafu TLS kuwashawishi Mawakili wajitoe Ili aendelee kuteseka huku wewe ukitumia fursa hii kutafuta uraisi. Hauangaiki wala hata haufikirii kwamba ni wakati muafaka kurudi kuja kumpa moyo kama ambavyo alifanya yeye.
Kweli hayo ndio malipo unayompa Mbowe kwa kukuangaikia wewe upate matibabu bora. Tulitegemea wewe kama mwanasheria ungekuwa umerejea nchini na kumsaidia mbowe lakini uroho wa madaraka umekufanya kutumia matatizo yake kujiimarisha kisiasa na kutafuta uraisi.
Ni mimi Mdogo wako Paul Makonda.

Hivi huyu jamaa asipokaa kwa kutulia huwa anapatwa na nini?
wakuu wa mikoa wenzake wametulia nini hasa kinachomfanya huyu kuwashwa washwa?
Huu ni waraka mzito au WARAKA TAKATAKA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom