Paul Makonda amewaburuza tena CHADEMA?

Makonda kabla hujaja kulilalia nenda kawaombe radhi Chongolo na Mpango. Uliwadhalilisha sana enzi bwana wako akiwa hai.
 
Makonda kabla hujaja kulilalia nenda kawaombe radhi Chongolo na Mpango. Uliwadhalilisha sana enzi bwana wako akiwa hai.
Jibu hoja mnapenda sana kuchafua watu lakini mungu wenu gaidi akichafuliwa mnalalama.
 
Kwani gaidi mbowe amepata nafasi gani?
 
Sasa mama si ana mamlaka ya makubwa sana?

Si aamrishe tu hiyo kesi ifutwe ili wanazi wa magu waumbuke na kuwafurahisha machadema?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mim nafurahia sana mnavyonena kwa lugha!

Mama anaupiga mwingi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani sio buku saba tena??? Dau limepanda????
 
naona unajipigia promo makonda upate teuze..
anyway lipia tangazo hili..
 
Memba mpya hata kama umeingia kwa I'd mpya uwe unapost vitu vya maana ila wakishakuzoea ndipo uwange mafongo. Sasa ndugu unaanza hovyo hivi mbona unapoteza sifa mapema? Hutakuwa na watu ujue.
 
unachokianya hapa, utamponza huyo mpenzi wako bashite, utawakumbusha watu machungu ili na yeye akumbukwe kwenye kikombe anachokinywea sabaya. tafadhali nyamaza umlinde. aina ya viongozi wa aina ile hatuhitaji waje kukumbukwa au hata kutokea tena hapa Tanzania.
 
kumbuka criminal accusations huwa haifi, unaweza fanya kosa leo (kama lile la clouds) ukaja kushtakiwa hata baada ya miaka 10 kama ushahidi bado upo. mwenzako kajifungia ndani hajui kitakachomtokea halafu wewe unaenda kufungua mlango watu wamuone...
 
N
Enda akakuowe,maana mnafikili mlizaliwa ili kuwa viongozi,

Huyo hawala yako Makonda anaishi Kama panya kwa kujificha,juzi nimemkuta pale Igoma maeneo ya kumbakumba kwenye saloon ya uchocholoni ananyoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…