Namhurumia Huyu kipaza sauti! Nimeicheki kwa makini picha ya 24 Hours, niliuongopa usalama wa taifa kwa maana ya kufanya kazi na pia siasa niliichikia. Jinsi aliyepo kwenye madaraka anavyojizatiti huku anaye taka kuongia akimfanyia fitina aliye kwenye madaraka. Na anaye pigwa vita akiingia anachofanya au waoambe ni kufagia walio mpinga iwe wanausalama au wanasiasa.
Ndogo aombe awe kwenye winning side na sio losing side. Yaani MTU unafanywa tv, remote wameshikilia wengine. Don't make decisions with empty stomach.