Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,512
Kagame ni beberu...?! Na nani aliyesingizia...?!Hivi kwanini Kila failure zetu lazima tusingizie "mabeberu"?. Yaani mkataba tusign wenyewe alafu alaumiwe kagame? Let's be serious.
Asante chief kwa kuweka hii sawa.Hivi kwanini Kila failure zetu lazima tusingizie "mabeberu"?. Yaani mkataba tusign wenyewe alafu alaumiwe kagame? Let's be serious.
Naona kama kuna connection kwenye hili jambo kati ya ziara ya Kagame kukutana na Samia, na Kikwete akipinga kama mtu aliyekuwa hapatani na Kagame toka enzi za mauaji ya Prof. Mvungi.
Inawezekana Samia alitongozwa na warabu, pia akatongozwa na Kagame, na wote akawakubalia, huyu mwanamke hii tabia yake inamuonesha ni mtu asiyejitambua kabisa, wala hana msimamo, kuwakubalia wanaume wawili kwa wakati mmoja..
Kwa hili Niko nyuma ya JK atusaidie hili kwanza mengine tutamalizana mbele ya safariWajumbe,
Hili dude la mkataba wa DP World na Serikali ya Tanzania ina makando-kando mengi. Katika kufukunyua nimekutana na wavaa miwani mieusi tena ni PSU...
Si mtoa mada kwamba kwa kuwa Kagame sijui ana hisa Dp World and blah blah Sasa najiuliza inahusikaje na sisi kusign wenyewe mkataba?
Wala hakuna uhusiano wa uzazi na uchapa kazi mbona tuliambiwa Mkapa hakuwa na "mtoto" ila mbona alikua serious kwenye uongozi?!Wazungu Wana msemo wao kwamba "kaya ya kisimbe ni ya kishimbe"... kiswahili tunasema 'singo maza' wengi miyeyuyusho.
Dunia nzima hakuna kesi itasikilizwa nchini mwako si obvious utapendelea? Na hata JPM alisema kesi za usuluhishi zisikilizwe humu ila baada ya mwezi tu akafuta kile kifungu.Na pia R. A yupo humu, ndio maana aliwashauri kesi zipelekwe walipopahitaji wao na kudharau kisutu..